Jimmywatanzania JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 514 Reaction score 274 Dec 12, 2018 #61 Mara hoyeeeeee..musoma hoyeee..home boys katika ubora wao
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Dec 12, 2018 #62 Victor wa happy said: Pesa ilitoka lkn ikitumika tofauti Click to expand... Kipindi gani ilitoka
S son of a teacher JF-Expert Member Joined Jul 30, 2017 Posts 541 Reaction score 1,449 Dec 12, 2018 #63 Karia ni mtu wa system kawekwa hapo na serikali Makusudi Mkuu unatwanga maji kwenye kinu na kujihangaisha
Karia ni mtu wa system kawekwa hapo na serikali Makusudi Mkuu unatwanga maji kwenye kinu na kujihangaisha
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Dec 12, 2018 #64 Turnkey said: Mayai na Shaffi wana uwezo wa kubadirisha soka letu wako very passionate na Mpira. Click to expand... Kwanini unaimani kwa hao wawili? Walishawahi kuwa viongozi wa vilabu? Au wana mchango gani kwenye soka mpaka sasa?
Turnkey said: Mayai na Shaffi wana uwezo wa kubadirisha soka letu wako very passionate na Mpira. Click to expand... Kwanini unaimani kwa hao wawili? Walishawahi kuwa viongozi wa vilabu? Au wana mchango gani kwenye soka mpaka sasa?
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Dec 12, 2018 #65 Bulesi said: Hizo ni mbinu za Wambura kuwachafua waliopo TFF ili arudi ofisini kuja kuhomola kwa kumtumia mamluki MUSIBA na kijarida chake!!! Hawa wote Wambura na Musiba ni majasusi!!! Click to expand... Wote wanatoka kanda maalumu
Bulesi said: Hizo ni mbinu za Wambura kuwachafua waliopo TFF ili arudi ofisini kuja kuhomola kwa kumtumia mamluki MUSIBA na kijarida chake!!! Hawa wote Wambura na Musiba ni majasusi!!! Click to expand... Wote wanatoka kanda maalumu
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Feb 3, 2019 #66 Kumbe ndio maaana anamdhihaki lissu ili kuwa safe side?? Sent using Jamii Forums mobile app