Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 274
Mara hoyeeeeee..musoma hoyeee..home boys katika ubora wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi gani ilitokaPesa ilitoka lkn ikitumika tofauti
Kwanini unaimani kwa hao wawili? Walishawahi kuwa viongozi wa vilabu? Au wana mchango gani kwenye soka mpaka sasa?Mayai na Shaffi wana uwezo wa kubadirisha soka letu wako very passionate na Mpira.
Wote wanatoka kanda maalumuHizo ni mbinu za Wambura kuwachafua waliopo TFF ili arudi ofisini kuja kuhomola kwa kumtumia mamluki MUSIBA na kijarida chake!!! Hawa wote Wambura na Musiba ni majasusi!!!