Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
WALOKOLE WAPUMBAVU WANAPENDA SANA KUWAPIMA WATU HEKIMA ZAO KWA UJINGA
Kuna walokole WAGALATIA fulani na wengine WAJINGA fulani hivi wakati ukiview hata profile zao unawatazama unaona ukiwajibu kwa jeuri za kisukuma na kiimani kama aliyokuwa nayo MUSA mbele ya Farao unaweza kuwavua nguo.
Huo ulokole wa KIGALATIA na WAKIJINGA😎 nishavuka kwenye hizo hatua. Naijua Biblia na nayajua mambo ya jadi nk. Usiniletee ulokole MPAUKO. Mtume Paul aliwaambia watu wote wawe mfano wa wa watu wa EBEROYA watu waliokuwa wasomaji wa maandiko na kuelewa sio kama wale watu wa Galatia, torokia, efeso
Niko vizuri kwenye mambo ya DUNIANI na ya KIROHO usiletee UGALATIA kwenye neno la Mungu huwa sisomi maandiko kama wagalatia nasoma natafakari na kuelewa kwahiyo, kaa utulie unywe maji na uwatafute WAGALATIA wenzako uje uwashike nasikio wamefunikwa UFAHAMU kwa kukosa MAARIFA ya KIROHO
Kwa UFUPI ni kwamba Mungu ni fundi sana anapokupa neema anajua kabisa utakutana na WAGALATIA fulani watakutesa usipokuwa na uelewa juu ya mambo fulani wao wayaoonayo wanayajua na kuyaelewa kwa jicho la kigalatia
SELEMANI alipoomba HEKIMA Mungu akaona hekima bila utajiri na sauti ya mamlaka huwezi kusema kitu mbele ya matajiri na wenye nguvu ndipo akampa na utajiri na nguvu ili asitishwe na mtu kwenye utawala wake kabisa na mtu
Wewe unayeniona mimi wa duniani sana hizo akili zako za KIGALATIA zikusaidie kwenye hatua za maisha yako usizilete kwangu KABISA
Wakati mwingine mtu akitumia HEKIMA sana basi WAPUMBAVU huitafsiri kama UDHAIFU📌
Iwe mwisho kuniletea UGALATIA wako wenye STRESS za maisha yako. Kaa mbali kabisa na utulize komwe lako. Hekima yangu isionekane ni udhaifu, ninapenda ninachofanya MAONI yako peleka ANGAZA au kanisani kwenu.😎📌