Walokole wanapenda sana kuwapima watu hekima zao kwa ujinga

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
WALOKOLE WAPUMBAVU WANAPENDA SANA KUWAPIMA WATU HEKIMA ZAO KWA UJINGA

Kuna walokole WAGALATIA fulani na wengine WAJINGA fulani hivi wakati ukiview hata profile zao unawatazama unaona ukiwajibu kwa jeuri za kisukuma na kiimani kama aliyokuwa nayo MUSA mbele ya Farao unaweza kuwavua nguo.

Huo ulokole wa KIGALATIA na WAKIJINGA😎 nishavuka kwenye hizo hatua. Naijua Biblia na nayajua mambo ya jadi nk. Usiniletee ulokole MPAUKO. Mtume Paul aliwaambia watu wote wawe mfano wa wa watu wa EBEROYA watu waliokuwa wasomaji wa maandiko na kuelewa sio kama wale watu wa Galatia, torokia, efeso

Niko vizuri kwenye mambo ya DUNIANI na ya KIROHO usiletee UGALATIA kwenye neno la Mungu huwa sisomi maandiko kama wagalatia nasoma natafakari na kuelewa kwahiyo, kaa utulie unywe maji na uwatafute WAGALATIA wenzako uje uwashike nasikio wamefunikwa UFAHAMU kwa kukosa MAARIFA ya KIROHO

Kwa UFUPI ni kwamba Mungu ni fundi sana anapokupa neema anajua kabisa utakutana na WAGALATIA fulani watakutesa usipokuwa na uelewa juu ya mambo fulani wao wayaoonayo wanayajua na kuyaelewa kwa jicho la kigalatia

SELEMANI alipoomba HEKIMA Mungu akaona hekima bila utajiri na sauti ya mamlaka huwezi kusema kitu mbele ya matajiri na wenye nguvu ndipo akampa na utajiri na nguvu ili asitishwe na mtu kwenye utawala wake kabisa na mtu

Wewe unayeniona mimi wa duniani sana hizo akili zako za KIGALATIA zikusaidie kwenye hatua za maisha yako usizilete kwangu KABISA

Wakati mwingine mtu akitumia HEKIMA sana basi WAPUMBAVU huitafsiri kama UDHAIFU📌

Iwe mwisho kuniletea UGALATIA wako wenye STRESS za maisha yako. Kaa mbali kabisa na utulize komwe lako. Hekima yangu isionekane ni udhaifu, ninapenda ninachofanya MAONI yako peleka ANGAZA au kanisani kwenu.😎📌
 
Mbona kama umepanic hv!!?😳😳😳😳😳😳😳

Mambo ya mtaani kwenu unayaleta huku kutujazia sever humu??

Aaaaaaaghh!!!!! Wacha tukerane tuuu😆😆😆😆😆😆😆😆
 
UNa uwakika gan kama limetoea mtaan ama apa JF?
 
Iwe mwisho kuniletea UGALATIA wako wenye STRESS za maisha yako. Kaa mbali kabisa na utulize komwe lako. Hekima yangu isionekane ni udhaifu, ninapenda ninachofanya MAONI yako peleka ANGAZA au kanisani kwenu.😎📌
Hiii aya hapa inaonesha unamgogoro binafsi.

Kama kuna anaekuletea shida humu mtaje tumtag aje tusuluhishe bwana weekend hii watu tunatakiwa kula vitu bila stress😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
WALOKOLE WAPUMBAVU WANAPENDA SANA KUWAPIMA WATU HEKIMA ZAO KWA UJINGA

Kuna walokole WAGALATIA fulani na wengine WAJINGA fulani hivi wakati ukiview hata profile zao unawatazama unaona ukiwajibu kwa jeuri za kisukuma na kiimani kama aliyokuwa nayo MUSA mbele ya Farao unaweza kuwavua nguo.

Huo ulokole wa KIGALATIA na WAKIJINGA😎 nishavuka kwenye hizo hatua. Naijua Biblia na nayajua mambo ya jadi nk. Usiniletee ulokole MPAUKO. Mtume Paul aliwaambia watu wote wawe mfano wa wa watu wa EBEROYA watu waliokuwa wasomaji wa maandiko na kuelewa sio kama wale watu wa Galatia, torokia, efeso

Niko vizuri kwenye mambo ya DUNIANI na ya KIROHO usiletee UGALATIA kwenye neno la Mungu huwa sisomi maandiko kama wagalatia nasoma natafakari na kuelewa kwahiyo, kaa utulie unywe maji na uwatafute WAGALATIA wenzako uje uwashike nasikio wamefunikwa UFAHAMU kwa kukosa MAARIFA ya KIROHO

Kwa UFUPI ni kwamba Mungu ni fundi sana anapokupa neema anajua kabisa utakutana na WAGALATIA fulani watakutesa usipokuwa na uelewa juu ya mambo fulani wao wayaoonayo wanayajua na kuyaelewa kwa jicho la kigalatia

SELEMANI alipoomba HEKIMA Mungu akaona hekima bila utajiri na sauti ya mamlaka huwezi kusema kitu mbele ya matajiri na wenye nguvu ndipo akampa na utajiri na nguvu ili asitishwe na mtu kwenye utawala wake kabisa na mtu

Wewe unayeniona mimi wa duniani sana hizo akili zako za KIGALATIA zikusaidie kwenye hatua za maisha yako usizilete kwangu KABISA

Wakati mwingine mtu akitumia HEKIMA sana basi WAPUMBAVU huitafsiri kama UDHAIFU📌

Iwe mwisho kuniletea UGALATIA wako wenye STRESS za maisha yako. Kaa mbali kabisa na utulize komwe lako. Hekima yangu isionekane ni udhaifu, ninapenda ninachofanya MAONI yako peleka ANGAZA au kanisani kwenu.😎📌
Wamekufanya nini mkuu?
 
Hao walokole humu wamo??
 
Wagalatia mmeanza kupondana wenyewe kwa wenyewe
 
Yaani hii ni dhahiri umeshindwa kumkabili mtu wako badala yake umeamua kuja kulialia mtandaoni 😆😆😆😆 hii ni hatua mbaya sana
 
Kwa hasira hizi, kuna mtu ndumba zake zimeharibiwa na maombi ya walokole, tujini tumefukuzwa, na tulinunuliwa kwa gharama, anatamani aue walokole wote, pole

Kuna rafiki yangu alipanga nyumba flani, kalipa kodi miezi sita, asubuhi kaamshwa na mwenye nyumba, karudishiwa Kodi yake yote, kaambiwa Leo nisikuone humu ndani, na sitaki maelezo. Maombi haya!!
 
wewe ni mmojawapo ya hao unaowaita wagalatia, tofauti na hapo ungetumia hekima.
 
WALOKOLE WAPUMBAVU WANAPENDA SANA KUWAPIMA WATU HEKIMA ZAO KWA UJINGA

Kuna walokole WAGALATIA fulani na wengine WAJINGA fulani hivi wakati ukiview hata profile zao unawatazama unaona ukiwajibu kwa jeuri za kisukuma na kiimani kama aliyokuwa nayo MUSA mbele ya Farao unaweza kuwavua nguo.

Huo ulokole wa KIGALATIA na WAKIJINGA😎 nishavuka kwenye hizo hatua. Naijua Biblia na nayajua mambo ya jadi nk. Usiniletee ulokole MPAUKO. Mtume Paul aliwaambia watu wote wawe mfano wa wa watu wa EBEROYA watu waliokuwa wasomaji wa maandiko na kuelewa sio kama wale watu wa Galatia, torokia, efeso

Niko vizuri kwenye mambo ya DUNIANI na ya KIROHO usiletee UGALATIA kwenye neno la Mungu huwa sisomi maandiko kama wagalatia nasoma natafakari na kuelewa kwahiyo, kaa utulie unywe maji na uwatafute WAGALATIA wenzako uje uwashike nasikio wamefunikwa UFAHAMU kwa kukosa MAARIFA ya KIROHO

Kwa UFUPI ni kwamba Mungu ni fundi sana anapokupa neema anajua kabisa utakutana na WAGALATIA fulani watakutesa usipokuwa na uelewa juu ya mambo fulani wao wayaoonayo wanayajua na kuyaelewa kwa jicho la kigalatia

SELEMANI alipoomba HEKIMA Mungu akaona hekima bila utajiri na sauti ya mamlaka huwezi kusema kitu mbele ya matajiri na wenye nguvu ndipo akampa na utajiri na nguvu ili asitishwe na mtu kwenye utawala wake kabisa na mtu

Wewe unayeniona mimi wa duniani sana hizo akili zako za KIGALATIA zikusaidie kwenye hatua za maisha yako usizilete kwangu KABISA

Wakati mwingine mtu akitumia HEKIMA sana basi WAPUMBAVU huitafsiri kama UDHAIFU📌

Iwe mwisho kuniletea UGALATIA wako wenye STRESS za maisha yako. Kaa mbali kabisa na utulize komwe lako. Hekima yangu isionekane ni udhaifu, ninapenda ninachofanya MAONI yako peleka ANGAZA au kanisani kwenu.😎📌
Naona unatokota na kutoa povu... sasa huyo mtu si ungeamuambia tu ? Hekima yako ndio imekutuma huku ?
 
Back
Top Bottom