Walokole wanautia aibu Ukristo

Hebu kwanza tuanze kuelezana maana ya ulokole isije ikawa ulokole ni dhana isiyoeleweka vizuri ndani ya ukristo
 
Eti mchungaji akitaka Gari au kitu chochote waamini wanachangishwa mpaka hela itimie, lakini mwamini akitaka Gari au kitu hicho hicho anaambiwa asali au kuombewa na Mchungaji basi atajijua mwenyewe [emoji108]
 
Wafuasi wa hizo cult ni madhehebu mbalimbali kama hujui jaribu kufanya research.watu wanaenda kusali RC misa ya kwanza mchana kwa mwamposa and the like.Shida ndio zinawapeleka na wanapotea kwa sababu ya kutolijua neno la Mungu
 
Makanisa yote hayafuati maandiko bali yanafuata mawazo yawachungaji na wazee wa kanisa tu
 
Wafuasi wa hizo cult ni madhehebu mbalimbali kama hujui jaribu kufanya research.watu wanaenda kusali RC misa ya kwanza mchana kwa mwamposa and the like.Shida ndio zinawapeleka na wanapotea kwa sababu ya kutolijua neno la Mungu
Hakuna mkiristo anae kubali kufuata neno la mungu ukitaka kuamini chunguza yanayo fanyika makanisani kuanzia mapadri mpaka wachungaji na wafuasi wao utagundua biblia inaelekea kulia wao kushoto
 
Allah katika qur an anasema....nanukuu

"إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ

[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu(wakiristo na wayahudi) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu...
Akili kichwani mwako
 
Dini ni 1 tu uisilamu hata hilo neno dini tasili yake sio ukirito hata ndani biblia hakuna andiko linalo sema ukirito dini
Kuna tofauti gani kati ya uislam na Cults zingine?
 
Binafsi siamini kwenye dini naamini kwenye imani. Dini ni mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu.

Mwanadamu ni dhaifu. Ametawaliwa na ubinafsi, tamaa na kubadilika badilika. Hiyo ndio nature yetu.

Nafuata imani yangu sio dini za wanadamu. Mungu ni wa wote. Dini ni utumwa.
 
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…