Ananunua njugu mawe kwa 500 tu halafu anakuja kuziuza kwa misukule yake kwa Tsh 300,000. Nchi hii ina wapumbavu wengi sana.Ibada ya njugumawe za upako👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DZ4bYl0y9a2/?igsh=MWN2ZHhqejBidnRyYg==
Utafiti wangu unaonionyesha kwamba anaanza na nusu afya ya akili lakini akishaingia ndani ya ulokole anakuwa na afya ya akili kamili mkuu.So kipi kinaanza,
1) Anaanza kuwa na shida ya afya ya akili ndio inampelekea kuokoka? Au
2) Anaokoka halafu shida ya afya ya akili inakuja?
Nisaidie mkuu kuna kautafiti nakafanya
Kama ni kwa ajili ya kubandua tu, hakuna tatizo. Kwa kuoa, usithubutu mkuu.Unataka wabanduliwe na nani? Alafu ujue mabinti wa kilokole ni watamu sana?