Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Sio kweli Mbeya kuna makabila mengi madogo madogo na pia idadimkoa wa Kilimanjaro ni mdogo sana kieneo ni sawa na dodoma uiga
wagogo na wanakyusa
Saababu ni idadi ya shule kuwa nyingi na pili Wachagga kusambaaNiweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.
Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..
Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,
Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi zina chini ya wanafunzi 15.
Niliyosoma mimi ina chini ya wanafunzi 18
Na population ya Machame ilikuwa kubwa sana tofaut na sasa( nimetoka huko juzi)
Najiuliza shida nini sikuizi?
Naangalia shule za wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine kama Shinyanga, Kahama, Dodoma, Geita, Singida na Dar mpaka Pwani watoto kwa darasa ni zaidi ya 80 kuendelea..
Tumesusa shule za umma au. Ni uzazi wa mpango?
View attachment 3140956View attachment 3140957View attachment 3140958View attachment 3140959
Shule zumekuwa nyingi.Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.
Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..
Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,
Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi zina chini ya wanafunzi 15.
Niliyosoma mimi ina chini ya wanafunzi 18
Na population ya Machame ilikuwa kubwa sana tofaut na sasa( nimetoka huko juzi)
Najiuliza shida nini sikuizi?
Naangalia shule za wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine kama Shinyanga, Kahama, Dodoma, Geita, Singida na Dar mpaka Pwani watoto kwa darasa ni zaidi ya 80 kuendelea..
Tumesusa shule za umma au. Ni uzazi wa mpango?
1. Mshkaji wangu ni Mzinza lakini hujitambulisha yeye ni muhayaWazinza sijui wako wapi jamani huku mjini sijawahi kutana na mzinza kabisa roho ina niuma sana mda mwingine unataka ukutane na ndugu zako wa mkoan kwako
Mkuu umeandika jambo la maana sana, hiyo lasumba haijaanza mwaka huu, na sio Machame peke yake ila ni Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla wake na Arusha mjiniNiweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.
Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..
Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,
Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi zina chini ya wanafunzi 15.
Niliyosoma mimi ina chini ya wanafunzi 18
Na population ya Machame ilikuwa kubwa sana tofaut na sasa( nimetoka huko juzi)
Najiuliza shida nini sikuizi?
Naangalia shule za wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine kama Shinyanga, Kahama, Dodoma, Geita, Singida na Dar mpaka Pwani watoto kwa darasa ni zaidi ya 80 kuendelea..
Tumesusa shule za umma au. Ni uzazi wa mpango?
View attachment 3140956View attachment 3140957View attachment 3140958View attachment 3140959
Sababu ni nini ya wao kufanya hivyo1. Mshkaji wangu ni Mzinza lakini hujitambulisha yeye ni muhaya
2. Boss/HR wangu ni mzinza lakini hujitambulisha muhaya.
Kifupi; Wazinza na Wanyambo hujitambulisha wao ni wahaya.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Huu ni uongo kama unapesa nenda kanunue ardhi hamna sehem ardhi haiuzwi Tanzania mbona wazungu wana mashamba huko machame?1. Tatizo kilimanjaro haipendi wageni wachaga mnaubaguzi mbaya sana hamna tofauti na wapemba..
Sasa nyie hamzaliani sana na hampendi wageni waje waishi kilimanjaro ardhi yote mnamiliki wenyewe na hamuzii kwa mtu ambaye sio mchaga mji yenu itakuwa vipi?
2. Hamkai nyumbani kwenu mkibalehee tu mnatafuta njia ya kukimbilia huko kujitafutia kutokana na nature ya wachaga ni wafanya biashara
unaposema watoto wa mikoa mingine darasani wapo 80 hukosi watoto wa kichaga humo hata 8.
Umeandika sawa sawa kabisa ila ni siku hizi ndio watu wamepunguza kuzaa ila miakaSababu ni kama ifuatavyo.
Idadi nyingi ya shule(mkoa wa Kilimanjaro ndo unaongoza kwa idadi ya shule za msingi na sekondari japo ni mkoa wa tatu kwa udogo Tanzania bara)
Uwezo wa wazazi wengi ambao hupeleka watoto wao shule binafsi
Watu wa mkoa wa kilimanjaro hawazaliani sana hivyo kuwa na watoto wachache.
Uchache wa wenyeji(wakazi) . Wengi wao wako mikoa tofauti ambako ndo wanako somea watoto wao , piaa mkoa wa kilimanjaro hauna wageni wengi.
2.8 ni kabila dogo sasa? Kwa scale ya Tanzania!! Wanaweza fika top5 we unasema kabila dogo ukilinganisha na wasukuma labdawachaga ni kabila dogo sana kwenye idadi ya watu since day one
sema spirit ya kusaka hela ndo imewapa popularity
roughly kwa Tanzania
wachaga ni 2.5m. ----2.8m
Hii ni positive comment yako pekee kwa wachaga , kongole kwako madam🤗Shule zumekuwa nyingi.
Chaguo lako.
Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi.
Sio ivyo pia huko kiutafutaji sio salama ,ivi uende huko unaenda Kuna mishe gani kwanza ,hebu niambie. Wenyeji wenyewe karibia 80% hawaishi huko wanaenda kwa wiki moja mwaka mzima baadaye wanakimbia Mana wanapakimbia ni pakavu mno. Eti msukuma atoke Mwanza asifungulie duka Mwanza aende kufungua Moshi kweli atamuuzia nani.Ndugu hakuna mtafutaji anaenda kilimanjaro nature haisapoti we uliona wapi mganga wa jadi kutoka dodoma anaamia kigoma na akaperform fresh..haiwezekani.
Ahaaa haaa umeandika kwa chuki sidhani kama yanaSio ivyo pia huko kiutafutaji sio salama ,ivi uende huko unaenda Kuna mishe gani kwanza ,hebu niambie. Wenyeji wenyewe karibia 80% hawaishi huko wanaenda kwa wiki moja mwaka mzima baadaye wanakimbia Mana wanapakimbia ni pakavu mno. Eti msukuma atoke Mwanza asifungulie duka Mwanza aende kufungua Moshi kweli atamuuzia nani.
Ishu ya pili ni ukabila Hawa jamaa zetu Wana tabia Kama za Kenya wapo Tanzania bahati mbaya tu. Wanakubagua bado wakiwa huko kwao wanabaguana utamsikia huyu mrombo akajaza warombo wenzake anayeongea ni mmarangu.
Ukiwa huko hata Arusha kitu cha kwanza wasipojua asili yako utasikia kuwa aisee wewe ni mtu wa wapi.
Hakuna mkibosho atanunua duka la kyasaka na huku Kuna mkibosho wake hapo jirani basi.
Jamaa wanabagua wazungu wakasome kwenye racism
Ila hamzai nao na hamuwapi ardhi!? Wanaanzisha familia zao sehemu nyingine.Sio kweli mkuu, embu nenda
KCMC, Uru, Boma Ngombe, Mabogini, Shabaha na Himo...
Wageni ni wengi mno