Wamachame wamesusa shule za umma? Au uzazi wa kisasa? Watoto ni chini ya 25 kwa Darasa karibu shule zote wilaya ya Hai

Wamachame wamesusa shule za umma? Au uzazi wa kisasa? Watoto ni chini ya 25 kwa Darasa karibu shule zote wilaya ya Hai

mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo sana kieneo ni sawa na dodoma uiga

wagogo na wanakyusa
Sio kweli Mbeya kuna makabila mengi madogo madogo na pia idadi

ya Wachagga usiihesabia kwa idadi ya watu wa mkoa wa Kilimanjaro tu zaidi

ya nusu ya Wachagga wapo mikoa mingine tofauti kwa hiyo tunaweza

kufika millioni 5.
 
Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.

Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..

Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,

Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi zina chini ya wanafunzi 15.

Niliyosoma mimi ina chini ya wanafunzi 18

Na population ya Machame ilikuwa kubwa sana tofaut na sasa( nimetoka huko juzi)

Najiuliza shida nini sikuizi?

Naangalia shule za wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine kama Shinyanga, Kahama, Dodoma, Geita, Singida na Dar mpaka Pwani watoto kwa darasa ni zaidi ya 80 kuendelea..

Tumesusa shule za umma au. Ni uzazi wa mpango?

View attachment 3140956View attachment 3140957View attachment 3140958View attachment 3140959
Saababu ni idadi ya shule kuwa nyingi na pili Wachagga kusambaa

Mikoa na nchi nyingine.
 
au labda wamehama pia? hakuna mahali utakwenda tanzagiza usikute wenyeji ktk mkoa wa klm, nje ya nchi kama hapo kenya ndio usiseme utasema ni extension ya mkoa wa klm walivyojaa wanatafuta maisha …
 
Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.

Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..

Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,

Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi zina chini ya wanafunzi 15.

Niliyosoma mimi ina chini ya wanafunzi 18

Na population ya Machame ilikuwa kubwa sana tofaut na sasa( nimetoka huko juzi)

Najiuliza shida nini sikuizi?

Naangalia shule za wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine kama Shinyanga, Kahama, Dodoma, Geita, Singida na Dar mpaka Pwani watoto kwa darasa ni zaidi ya 80 kuendelea..

Tumesusa shule za umma au. Ni uzazi wa mpango?
Shule zumekuwa nyingi.

Chaguo lako.

Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi.
 
Wazinza sijui wako wapi jamani huku mjini sijawahi kutana na mzinza kabisa roho ina niuma sana mda mwingine unataka ukutane na ndugu zako wa mkoan kwako
1. Mshkaji wangu ni Mzinza lakini hujitambulisha yeye ni muhaya
2. Boss/HR wangu ni mzinza lakini hujitambulisha muhaya.

Kifupi; Wazinza na Wanyambo hujitambulisha wao ni wahaya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.

Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..

Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,

Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi zina chini ya wanafunzi 15.

Niliyosoma mimi ina chini ya wanafunzi 18

Na population ya Machame ilikuwa kubwa sana tofaut na sasa( nimetoka huko juzi)

Najiuliza shida nini sikuizi?

Naangalia shule za wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine kama Shinyanga, Kahama, Dodoma, Geita, Singida na Dar mpaka Pwani watoto kwa darasa ni zaidi ya 80 kuendelea..

Tumesusa shule za umma au. Ni uzazi wa mpango?

View attachment 3140956View attachment 3140957View attachment 3140958View attachment 3140959
Mkuu umeandika jambo la maana sana, hiyo lasumba haijaanza mwaka huu, na sio Machame peke yake ila ni Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla wake na Arusha mjini

Ukiuliza utapewa jibu la haraka kuwa vijana hawapo vijijini, wapo mijini wanatafuta maisha ma Wazee hawazai tena watoto

Ila pamoja na hiyo sababu ambayo ni ndogo sana, kuna hizi zifuatazo amini, usiamini

1) Vijana wengi hawana Uwezo wa kuzalisha kama zamani : Yaani Vijana wanaogopa sana maisha kwsbb ya hali ya kiuchumi kuwa ngumu lakini kingine ni Unywaji pombe uliopindukia

Juzi nilikuwa kwenye mazishi pia Machame, Mwinjilisti alilaani sana suala la vijana kuishia katika ulevi hata kuoa au kuishi na mwanamke hilo wazo halipo na Wanawake wanasema wazi kuwa hakuna Wanaume sikuhizi wapo radhi watembee na wababa watu wazima.

Kwa Moshi mjini na Arusha kwa sehemu kubwa idadi kubwa ya Wanafunzi imepungua kwenye shule za kata kwasababu wazazi wengi huwapeleka watoto wao kwenye shule za Private na zipo nyingi za standard nzuri

Hilo la Ulevi na kutokuzaa lipo pia Meru na Upareni, tulienda Ugweno - Mwanga miaka mitatu iliyopita tukakutana na Mratibu Elimu naye analalamika huki anawaambia vijana zaeni...akitoa ushuhuda ametoka kuchukia mitihani ya Wanafunzi wa shule 3 ila idadi yao kwa ujumla haizidi 40 just imagine.
 
1. Mshkaji wangu ni Mzinza lakini hujitambulisha yeye ni muhaya
2. Boss/HR wangu ni mzinza lakini hujitambulisha muhaya.

Kifupi; Wazinza na Wanyambo hujitambulisha wao ni wahaya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sababu ni nini ya wao kufanya hivyo
 
Serikali isipoingilia kati jamii ya wachaga itapotea nchini, ikumbukwe kwamba kwa asilimia kubwa sekta binafsi inaendeshwa na wachaga hivyo hawa ni watu muhimu sana kwa ustawi wa jamii.
 
Sababu ni kama ifuatavyo.

Idadi nyingi ya shule(mkoa wa Kilimanjaro ndo unaongoza kwa idadi ya shule za msingi na sekondari japo ni mkoa wa tatu kwa udogo Tanzania bara)

Uwezo wa wazazi wengi ambao hupeleka watoto wao shule binafsi

Watu wa mkoa wa kilimanjaro hawazaliani sana hivyo kuwa na watoto wachache.

Uchache wa wenyeji(wakazi) . Wengi wao wako mikoa tofauti ambako ndo wanako somea watoto wao , piaa mkoa wa kilimanjaro hauna wageni wengi.
 
1. Tatizo kilimanjaro haipendi wageni wachaga mnaubaguzi mbaya sana hamna tofauti na wapemba..
Sasa nyie hamzaliani sana na hampendi wageni waje waishi kilimanjaro ardhi yote mnamiliki wenyewe na hamuzii kwa mtu ambaye sio mchaga mji yenu itakuwa vipi?

2. Hamkai nyumbani kwenu mkibalehee tu mnatafuta njia ya kukimbilia huko kujitafutia kutokana na nature ya wachaga ni wafanya biashara
unaposema watoto wa mikoa mingine darasani wapo 80 hukosi watoto wa kichaga humo hata 8.
Huu ni uongo kama unapesa nenda kanunue ardhi hamna sehem ardhi haiuzwi Tanzania mbona wazungu wana mashamba huko machame?
 
Sababu ni kama ifuatavyo.

Idadi nyingi ya shule(mkoa wa Kilimanjaro ndo unaongoza kwa idadi ya shule za msingi na sekondari japo ni mkoa wa tatu kwa udogo Tanzania bara)

Uwezo wa wazazi wengi ambao hupeleka watoto wao shule binafsi

Watu wa mkoa wa kilimanjaro hawazaliani sana hivyo kuwa na watoto wachache.

Uchache wa wenyeji(wakazi) . Wengi wao wako mikoa tofauti ambako ndo wanako somea watoto wao , piaa mkoa wa kilimanjaro hauna wageni wengi.
Umeandika sawa sawa kabisa ila ni siku hizi ndio watu wamepunguza kuzaa ila miaka

ya nyuma wazazi wetu wengi walizaa watoto wengi sana zaidi ya 5 wengine 7 hadi 10.
 
Sio machame pekee wilaya nyingi za kilimanjaro vijana au wakaazi wengi wamehamia mikoa mingine katika kutafutq maaisha na hii imeanza toka enzi za mwalimu kwa sabab ya uhaba wa ardhi lakin pia jamii zilizoelimika hawazai zaidi hovyo kama wasukuma na waha
 
wachaga ni kabila dogo sana kwenye idadi ya watu since day one
sema spirit ya kusaka hela ndo imewapa popularity
roughly kwa Tanzania
wachaga ni 2.5m. ----2.8m
2.8 ni kabila dogo sasa? Kwa scale ya Tanzania!! Wanaweza fika top5 we unasema kabila dogo ukilinganisha na wasukuma labda
But ni kabila kubwa
 
Ndugu hakuna mtafutaji anaenda kilimanjaro nature haisapoti we uliona wapi mganga wa jadi kutoka dodoma anaamia kigoma na akaperform fresh..haiwezekani.
Sio ivyo pia huko kiutafutaji sio salama ,ivi uende huko unaenda Kuna mishe gani kwanza ,hebu niambie. Wenyeji wenyewe karibia 80% hawaishi huko wanaenda kwa wiki moja mwaka mzima baadaye wanakimbia Mana wanapakimbia ni pakavu mno. Eti msukuma atoke Mwanza asifungulie duka Mwanza aende kufungua Moshi kweli atamuuzia nani.

Ishu ya pili ni ukabila Hawa jamaa zetu Wana tabia Kama za Kenya wapo Tanzania bahati mbaya tu. Wanakubagua bado wakiwa huko kwao wanabaguana utamsikia huyu mrombo akajaza warombo wenzake anayeongea ni mmarangu.
Ukiwa huko hata Arusha kitu cha kwanza wasipojua asili yako utasikia kuwa aisee wewe ni mtu wa wapi.
Hakuna mkibosho atanunua duka la kyasaka na huku Kuna mkibosho wake hapo jirani basi.
Jamaa wanabagua wazungu wakasome kwenye racism
 
Ahaaa haaa umeandika kwa chuki sidhani kama yana
ukweli wowote.
 
Mkoa mzima wa kilimanjaro unachangamoto ya population collapse Hizi ni shule za huko upareni darasa la saba wanamaliza wanafunzi saba 7
27AA9EF6-8970-4A56-B438-EC156274FEED.png
9F346ADD-70B7-4DE6-9621-4D8EB77FC9BF.png
 
Sio kweli mkuu, embu nenda
KCMC, Uru, Boma Ngombe, Mabogini, Shabaha na Himo...

Wageni ni wengi mno
Ila hamzai nao na hamuwapi ardhi!? Wanaanzisha familia zao sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom