desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Mkuu acha kujiona wa maana kuliko binadamu wenzio wanaojitafutia ridhikiNamshukuru Raisi kuwa mkweli na mwenye maono na kukubaliana na mimi "" Hawalipi kodi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kujiona wa maana kuliko binadamu wenzio wanaojitafutia ridhikiNamshukuru Raisi kuwa mkweli na mwenye maono na kukubaliana na mimi "" Hawalipi kodi"
Wewe kama ndio mshauri wa Rais you are hopelessNamshukuru Raisi kuwa mkweli na mwenye maono na kukubaliana na mimi "" Hawalipi kodi"
Sioni chochote kipya ulichogundua wewe ambacho unataka nikipinge au nikiunge mkono hapa.Mimi sikutafuti hii topic ni yangu!. Nimesema ukweli tu. Tusipoteze muda kubishara ukweli badala yake toa mawazo yako kama unapingana na mimi na Raisi Samia kwenye hili jambo ili tusaidie nchi yetu.
Mleta mada utakuwa mfanyakazi wa serikali siku ukifungua Duka la jumla ukitumbuliwa nk ndio utajua machinga ni nani kuwa wanachukua bidhaa toka eneo lako choka Mbaya lisilo na wateja kupeleka eneo la wateja ili wewe ujidai kulipa pango na kodi na kujitia majidai kuwa uko prime business area ambalo hata TRA wanatolea mimacho kumbe hawajui wanaolimbatisha chati hilo eneo sio location walipo ni machinga wabeba bidhaa kuzunguka nazo masoko yaliko
Sawa waweza sema machinga hawalipi kodi lakini ndio wasababishaji wa stock turnover ya wafanya biashara wakubwa walipa VAT kwenda haraka na kuagiza mzigo mwingine VAT and custom duty taxable ndio wanakimbiza tax turnover kwa Kukimbiza haraka sales turnover
Mleta mada ukikariri notice hukuelewa masomo
Watanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe kuongezewa kodi!
1. Hawalipi kodi yeyote ya maana na vibali vya machinga ni kama kukejeli Watanzania.
2. Wachafuzi wa mazingira. Hivi hizi gharama za usafi analipa nani hasa kwa watu wasio lipa kodi.
3. Wanauza vitu vya kijinga ambavyo havina msaada wowote wa maana kwa viwanda vyetu wala sera muhimu kama kilimo, elimu au afya.
4. Wanasaidia viwanda vya china sio Tanzania hebu tukaangalie kama vitu vya machinga ni vya Tanzania! Utakuta ni majalala ya kichina hivyo tunasaidia wachina na sio Tanzania.
5. Wanaua wafanyabiashara wadogo ambao wanalipa kodi maana wameweka magenge ambayo hayana mpangilio mbele ya biashara nyingine
Kweli ni laaana kwa taifa,Watanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe kuongezewa kodi!