Mzee limepita tingatinga usiku wa manane..Wanajua kilichowakuta wenzao mwenge...kiukweli uchafuzi mazingira ulizidi
Nimepita jion pale kwa kweli inasikitisha sana.Wamevunjiwa usiku wa kuamkia leo.
Acha tuanze upya...akili zetu zilisha adapt kwamba popote unaweza fanya biasharaUnasafisha jiji uku nafsi za watu zinakulaani zinanung'unika nothing