Wamachinga Kimara wamehama wenyewe

Wamachinga Kimara wamehama wenyewe

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Nimepita hapa Kimara mwisho nimeshuhudia mwenyewe kuwa wamachinga wanaiheshimu hii serikali mpya na kutii maagizo ya kuhama wenyewe.

Huu ndio uharibifu nilioushudia, sijui kwa nini wamachinga hawa wameamua kuharibu mabanda na maki zao pia. Anayejua anaweza kunisaidia kwa nini? Maana pamekuwa kama eneo lililolipuliwa na mabomu.

Asante Sakala na bosi wako anayekutuma, au unajituma mwenyewe!?

IMAG0455.jpg


IMAG0456.jpg
 
Wamestuka kilichotakiwa kufuata wangepigwa night fire wanaamka vibanda vyote vimeungua
 
Wamestuka kilichotakiwa kufuata wangepigwa night fire wanaamka vibanda vyote vimeungua
Kwa hiyo wewe umeamini kuwa wamebomoa wenyewe!? Kama wapi kwa mfano.?
 
Back
Top Bottom