Papaa pedeshee
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 274
- 394
Mantiki yangu ni wakati gani zoezi hilo lingeweza kufanyika, mfano zoezi lingeweza kufanyika mwakani mwezi march ambapo wazazi watakuwa wameshapeleka watoto wao shule.mbili wangeandaliwa maeneo rafiki ya kwenda badala ya kuwaondoa wasijue pakwenda na hata baadhi ya maeneo yasiyo rafiki walioandaliwa hakuna biashara yoyote inaweza kufanyika na kumpa mtu kipato. Tatu naunga mkono baadhi ya maeneo ambayo hayakuhitaji kusubiri mathalani eneo la posta karibu na chuo cha IFM na ofisi zingine zikiwemo zilizokuwa wizara za serikali, hao machinga au wajasiriamali walicheleweshwa kuondolewa kutokana na mandhari yenyewe ya jiji na historia yake.Utawavumilia hadi lini mkuu...hakuna siku inaunafuu, ni bora watu watii mamlaka wafungur biashara panaporuhusiwa...
Walipewa miezi miwili...wakaongezewa
mmoja....wakaongezewa week mbili.
Kadiri muda unavyozidi kwenda vibanda vinaongezeka..
Hata hivyo mfano mbezi Louis stendi ndogo ya dala dala na bajaji, eneo hilo kunaweza kujengwa jengo lenye floor moja mzunguko na wajasiriamali wakapangwa vema ground na floor ya moja ya juu, maisha mbona yangeenda.