Wamachinga kumbe hadi Marekani

Wamachinga kumbe hadi Marekani

Hapo ni Eneo la Manhattan NYC ni kama Posta tu hapa Dar ni katikati kabisa ya jiji ! Na ukizubaa wakati wa kununua una pigwa kama wanavofanya kariakoo ! Yaani unaonyeshwa viatu vizima ukigeuka tu kidogo wakati umeshalipa unawekewa vibovu katika mfuko ! HAHAAA
 
Machinga wa Manhattan ni watu weusi huwezi kukuta mzungu anakimbizana na biashara za kuuza soksi mtaani...kuna haja gani ya kuishi nchi zenye idadi kubwa ya walalahoi kama marekani? Watu weusi wanaishi nchi za ulaya wako vizuri Sana kiuchumi kuliko Huko USA
 
Wamachinga wapo dunia nzima.Niliwahi kuwaona downtown Istanbul enaeo linaitwa Lareli mjini katikati cha ajabu nchi zingine machinga ni vijana lakini Istanbul asilimia kubwa ni Wazee na wanatimua mbio hao wakiona polisi !
Hata Dubai wamachinga wapo .Sasa hapo ndo utashangaa asilimia kubwa ya machinga wa Dubai ni Wachina !
 
Halafu ukiangalia wote watu weusi, au ndio maana trump anawekaga Sheria Kali anasema US kunaingia watu kiholela.

Unaweza ukasema Kariakoo

View attachment 3088950
Kama huna lengo la ww la uwepo wako Kuwa Marekani! Utazeeka bila kurudi home na Kuwa Teja!
Sababu us kazi ni nyingi na pesa ni nyingi na MAISHA ya kujikimu ni ghali sana kama bongo!
Kwa hiyo ukiishi MAISHA ya kifahari utazeeka ha kushindwa kurudi bongo na hakuna wa kuajiri mzee kuanza MAISHA ya kubangaiza
 
Machinga wa Manhattan ni watu weusi huwezi kukuta mzungu anakimbizana na biashara za kuuza soksi mtaani...kuna haja gani ya kuishi nchi zenye idadi kubwa ya walalahoi kama marekani? Watu weusi wanaishi nchi za ulaya wako vizuri Sana kiuchumi kuliko Huko USA
Duh!...
 
Back
Top Bottom