Wamachinga wa Msimbazi Kariakoo wanatandika bidhaa chini kwenye njia ya waenda kwa miguu

kwahiyo wazungu ndio hivyo hawaji tena Dar es salaam maana pochi zao zitaporwa?
 
 
Wafanye tu kama wale wa wrong parking! Ashikwe mtu akacheulishwe 150K wakifanya hivyo kwa week tu hamna kiumbe atasalia road 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…