Wamagharibi wanajadili Hypersonic missiles za Iran! Hawaamini kama anazo!

Wamagharibi wanajadili Hypersonic missiles za Iran! Hawaamini kama anazo!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika kwa makombora ya Hypersonic ambayo mpaka sasa hakuna teknolojia inayoweza kuyatungua! Walikuwa hawaamini kuwa Iran anaweza kuwa na hii teknolojia!

Missile barrage on Israel: What were the 'hypersonic' weapons used by Iran?​

On October 1, 2024, Israel faced one of the largest missile barrages in modern history.

But has Iran truly acquired hypersonic ballistic missile technology, and were they capable of deploying it in this assault?

'Hypersonic missiles are significantly harder to intercept'

'Iran's Fattah-1 qualifies as a hypersonic weapon'

Footage circulating on social media from Israel showing the missile strikes provides further evidence. In some of these videos, the extraordinary speed of the missiles, characteristic of hypersonic flight, is clearly visible as they hit their targets.”

Issued on: 02/10/2024 - 19:33. Modified: 02/10/2024 - 19:41

Uongo mtupu.
Wamagharibi wanamjua Iran ndani nje hadi mawazo yao.
Kumbuka walitoa taarifa siku moja kabla kuwa Iran atashambulia masaa machache yajayo
 
Uongo mtupu.
Wamagharibi wanamjua Iran ndani nje hadi mawazo yao.
Kumbuka walitoa taarifa siku moja kabla kuwa Iran atashambulia masaa machache yajayo
Kinachofanyika Iran hutoa taarifa kabla ili kuzuia makombora kugongana na ndege. Hao wamarekani na mataifa walishataarifiwa na Iran kuhusu kufanya mashambulizi
 
Kinachofanyika Iran hutoa taarifa kabla ili kuzuia makombora kugongana na ndege. Hao wamarekani na mataifa walishataarifiwa na Iran kuhusu kufanya mashambulizi
Unajua kuna mganga na mpiga ramli, sasa marekani yeye ni mpiga ramli, hana chochote anachokijua zaidi yakubahatisha na kucheza na data, kwenye kupata majibu yake. Angekuwa na intelijensia nzuri angeweza kugundua majaribio ya trump kutaka kuuwawa mapema sana.

Matukio mangapi amabayo hutokea marekani na kupoteza maisha ya wamarekani ambayo yangeweza kuzuiliwa na intelijensia yao
 
Kinachofanyika Iran hutoa taarifa kabla ili kuzuia makombora kugongana na ndege. Hao wamarekani na mataifa walishataarifiwa na Iran kuhusu kufanya mashambulizi
Acha uongo, hizi taarifa kwanza hata wamagharibi hawazitoi kwa njia ya kawaida bali cable, pili Iran hatoagi taarifa popote
 
Irani Nikenge mbele ya muisrael, Sion chakujisifia karusha makombora mamia lakini hamna yalioleta madhara,alafu wanakuja eti tumelenga target 🎯 upuuzi mtupu, ngoja wajibiwe usikie viliio vyao mpaka huku bongo ,Netanyau anakinoa kisu
 
Attachments

  • Facebook_1727906583821.mp4
    653.1 KB
Hypersonic 200 ambazo mafanikio yake ni kuua mpalestina mmoja huko Jericho hiyo ni hypersonic au hypertakataka😄
Waisrael tel aviv Jana wamelala kwenye mahandaki kama panya we upo zako viwege unadogosha kipigo, ushabiki wa kisenge huu
 
Na mumeweka kabisa kamziki kaki gaidi, hizo sizime dunguliwa angani zilizo dondoka nivipande tu na havijaleta madhara sana, kaangalie kule hezbollaa kombora moja la Israel linapenya mpaka chini ya handaki ,Iran hawezi piga kombora lika penya hivo
 
Uongo mtupu.
Wamagharibi wanamjua Iran ndani nje hadi mawazo yao.
Kumbuka walitoa taarifa siku moja kabla kuwa Iran atashambulia masaa machache yajayo
Unaangalia activities zinazo endelea tu unajua.
Mfano tangazo la kufunga anga ndege zote za kiraia. Iran ilitangaza kabla muda wa kufunga anga. Hii haitaji kutumia ujasusi au satellite maana taarifa husambazwa dunia nzima kwa utaratibu uliowekwa na ICAO.
 
Back
Top Bottom