Wamagharibi wanajadili Hypersonic missiles za Iran! Hawaamini kama anazo!

Wamagharibi wanajadili Hypersonic missiles za Iran! Hawaamini kama anazo!

Huu uzi kuna watoto na watu wenye upeo mdogo sana wa kuyaangalia mambo katika angle zote huku ukiweka hisia pembeni. Iran anapigana vita kiutu uzima haui watoto wala kuuwa watu hovyo huyo mpalestina aliyepata madhara ya kuangukiwa na mabaki ya mabomu hiyo kitaalamu inaitwa collateral damage na Iran ameionyesha dunia kuwa amekuwa anafaa hata kukaribishwa kwenye meza za G7🤗,ameminimize to nearly infinity collateral damage.

Tofauti na Israeli kwanza anapigana kwa hisia halafu bado anapigana kama mijitu ya zamani inasababisha collateral damage kuubwa bila sababu. Israeli ni third world country hamna kitu bado hajastaarabika. Mwenzake Iran anampiga kwa kumcripple hahahaaa alafu anamuacha akijifaragua. Kimtaa mtaa tunaita tunakustua konzi moja heavy then tunaacha unaskilizia maumivu huku ukiendekea kujishauri uretaliate au ugairishe maamuzi ni yako😁😁😁😁 kwenzi alilopigwa Israeli limempa wenge saiv anapiga watu ban hovyohvyo eti katibu mkuu asifike hapo jangwani. Hawa jamaa wnajisahau sana yaani mtu aache kwenda sehemu kama Dubai, Maldives au Bahamas aende Israeli kufanya nn🤔
 
Unaangalia activities zinazo endelea tu unajua.
Mfano tangazo la kufunga anga ndege zote za kiraia. Iran ilitangaza kabla muda wa kufunga anga. Hii hayahitaji kutumia ujasusi au satellite maana taarifa husambazwa dunia nzima kwa utaratibu uliowekwa na ICAO.
Irani ni superpower hapo middle east na kanuni za kivita unatakiwa utoe taarifa kweli. Mashabiki maandazi wanajichocha oohhh marekani anainteligence mara israeli anainteligency. Mtu yoyote anayeamini hvyo huyu bado yupo kundi la shabiki maandazi. Trump kashambuliwa mara mbili super power kashindwa kung'amua haya matukio yote. Swala la october 8 mwaka jana limewaumbua sana hawa mabaradhuli. Pia kama wanainteligencia ya hvyo iweje washindwe kugundua kambi za mafunzo ya magaidi na kuzidhibiti kabla magaidi hayajaiva na kuingia front. Israeli na Amerika wanainteligencia ya kawaida tu waache kujikweza!!!!!
 
Acha uongo, hizi taarifa kwanza hata wamagharibi hawazitoi kwa njia ya kawaida bali cable, pili Iran hatoagi taarifa popote
Iran ilitoa taarifa za awali (prior information) Kwa Russia na USA kabla ya mashambulizi. Soma na fuatilia taarifa kwenye media za kimataifa badala ya vijiwe vya kahawa.
 
Israel hawawezi jibu, akijibu Iran inatuma tena Fattahs 1500 na decoys 200(hizi ndiyo zinakuwa intercepted)
Hapo ndiyo mwisho kusikika tena kwa taifa teule la Mungu la Israel
 
Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika kwa makombora ya Hypersonic ambayo mpaka sasa hakuna teknolojia inayoweza kuyatungua! Walikuwa hawaamini kuwa Iran anaweza kuwa na hii teknolojia!

Missile barrage on Israel: What were the 'hypersonic' weapons used by Iran?​

On October 1, 2024, Israel faced one of the largest missile barrages in modern history.

But has Iran truly acquired hypersonic ballistic missile technology, and were they capable of deploying it in this assault?

'Hypersonic missiles are significantly harder to intercept'

'Iran's Fattah-1 qualifies as a hypersonic weapon'

Footage circulating on social media from Israel showing the missile strikes provides further evidence. In some of these videos, the extraordinary speed of the missiles, characteristic of hypersonic flight, is clearly visible as they hit their targets.”

Issued on: 02/10/2024 - 19:33. Modified: 02/10/2024 - 19:41

Hicho ndo kinamtesa usa na wamagharibi wwnzake kuwa tech zote kubwa kubwa lazima wamiliki wao tu ili wakimtwanga mtu vikwazo vimuumize
 
Waajemi ni hatari huyo bibi aruke ruke tu ila ni very dangerous ogopa mtu anajua una nyuklia ila anakutandika mahali anapotaka yeye na kushawahi kufanya hivyo kwa baba ako tena Trump kipindi hiko, bibi atumie busara akakurupuka huu ni msala
 
Uyo muisrael ndio kidume wa West wote ktk technology yoyote uijuayo so kupigwa vibao mchana kweupe kunawashangazq sana uyo kidumewao. na muIran kwasasa ataogopwa zaid kuliko ukonyuma mana kampasua mwalimuwao watechnology nani tena atanunua ugomvi ata kama ww mwamba wenu kapigwa mbeleyenu kwa K.O yupo mahututi adi sasa we utaenda
 
We fikilia km2000+ kwa 8 dakika mana upo chooni unakata gogo ukitoka unaambiwa Iran kapita na hq mossad au y jesh. kumfata kumchokozatena lazima uwe punguani kidogo 🤣🤣🤣
 
Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika kwa makombora ya Hypersonic ambayo mpaka sasa hakuna teknolojia inayoweza kuyatungua! Walikuwa hawaamini kuwa Iran anaweza kuwa na hii teknolojia!

Missile barrage on Israel: What were the 'hypersonic' weapons used by Iran?​

On October 1, 2024, Israel faced one of the largest missile barrages in modern history.

But has Iran truly acquired hypersonic ballistic missile technology, and were they capable of deploying it in this assault?

'Hypersonic missiles are significantly harder to intercept'

'Iran's Fattah-1 qualifies as a hypersonic weapon'

Footage circulating on social media from Israel showing the missile strikes provides further evidence. In some of these videos, the extraordinary speed of the missiles, characteristic of hypersonic flight, is clearly visible as they hit their targets.”

Issued on: 02/10/2024 - 19:33. Modified: 02/10/2024 - 19:41

😀😀😀😅😆 kwamba kwenye hi dunia, unaweza kua na silaha kali halafu Urusi na USA wasijue? Ugomvi wa mataifa ya magharibi kwa Iran unatokana na nini? Mossaid wapo everywhere ndani ya Iran, hadi ikulu na jeshini wapo, M16, CIA of course hata KGB pia. Hiyo nukuu labda Wasafi media ya huko ndio walikua wana jadiri but sio mataifa. Or let's make this way, hivi Watanzania wale wafatiliaji wa mambo hawajui kama Iran anamiliki silaha kali? We unadhani watengeneza silaha wanatengenezaga for their own only? Wanauza pia kaka, huwezi kuuza kitu kama unatengeneza kwa siri; fungua akili yako bro na uamke, kumekucha
 
Back
Top Bottom