Wamakonde wa Kipumbwi na Mapinduzi ya Zanzibar 1964

Binafsi hao wamakonde walifanya vyema kuiondoa utawala wa sultan(mwarabu)..

haiwezekani mtu atoke kwao ASIA aje kupata miliki kwenye ardhi ya mtu mweusi.

Kwa wanaotetea utawala wa sultan (mwarabu),
unahisi wao wangekubali kutawaliwa madhalani na mswahili mweusi kutoka hapa tanganyika au z'bar huko kwao OMAN?
 
Inside10,
Waomani waliitwa Zanzibar kuja kuwaondoa Wareno.
Hiki ndicho chanzo cha Waomani kutawala Zanzibar.

Lakini Waingereza na wao wakaingia Zanzibar na kuitawala wakati Sultani yupo Zanzibar.
Waomani wako Zanzibar kwa karne nyingi na wamechanganya damu na Waafrika.

Leo Usultani haupo tena.
Waliobakia ni Wazanzibari wenye asili ya Omani na hawa wanabakia kuwa Wazanzibari kwani Uzanzibari si rangi:

View: https://youtu.be/QeF_8R2-TtA
 
Hapo kwenye bold waliitwa na nani?!
 
Historia inayofundishwa mashuleni kwamba Sultan alihamisha makao yake kutoka Muscat hadi Zanzibar huwa siielewi!

Kwamba wakati Sultan yuko Zanzibar anatawala kiti cha Muscat hakikuwa na mtu bali order ilitokea Zanzibar? Kama ndio hivyo, ina maana wakati mapinduzi yanatokea still kiti cha Muscat bado ni kitupu?

If so, mbona historia inayofundishwa Oman haioneshi kiti cha Muscat kuwahi kubaki kitupu? Maana hata Jamshid alipokimbilia London na kuishi almost maisha yake yote huko, usultan wa Oman uliendelea! Somewhere tunapigwa changa la macho!

Kaneno kalikotumika kwenye hiko kitabu cha historia ninayoizungumzia kuhusu kuhama kwa Sultan ni "Shifted".
 
Binafsi hao wamakonde walifanya vyema kuiondoa utawala wa sultan(mwarabu)..

haiwezekani mtu atoke kwao ASIA aje kupata miliki kwenye ardhi ya mtu mweusi.

Kwa wanaotetea utawala wa sultan (mwarabu),
unahisi wao wangekubali kutawaliwa madhalani na mswahili mweusi kutoka hapa tanganyika au z'bar huko kwao OMAN?

Acha ubaguzi ndugu
 
Historia inayofundishwa mashuleni kwamba Sultan alihamisha makao yake kutoka Muscat hadi Zanzibar huwa siielewi!

Kwamba wakati Sultan yuko Zanzibar anatawala kiti cha Muscat hakikuwa na mtu bali order ilitokea Zanzibar? Kama ndio hivyo, ina maana wakati mapinduzi yanatokea still kiti cha Muscat bado ni kitupu?

If so, mbona historia inayofundishwa Oman haioneshi kiti cha Muscat kuwahi kubaki kitupu? Maana hata Jamshid alipokimbilia London na kuishi almost maisha yake yote huko, usultan wa Oman uliendelea! Somewhere tunapigwa changa la macho!

Kaneno kalikotumika kwenye hiko kitabu cha historia ninayoizungumzia kuhusu kuhama kwa Sultan ni "Shifted".

Mkuu historia tunazufundishwa Shule ni Takataka, zipo ki ropaganda zaidi kuvutia watawala.
 
Historia inayofundishwa mashuleni kwamba Sultan alihamisha makao yake kutoka Muscat hadi Zanzibar huwa siielewi!

Kwamba wakati Sultan yuko Zanzibar anatawala kiti cha Muscat hakikuwa na mtu bali order ilitokea Zanzibar? Kama ndio hivyo, ina maana wakati mapinduzi yanatokea still kiti cha Muscat bado ni kitupu?

If so, mbona historia inayofundishwa Oman haioneshi kiti cha Muscat kuwahi kubaki kitupu? Maana hata Jamshid alipokimbilia London na kuishi almost maisha yake yote huko, usultan wa Oman uliendelea! Somewhere tunapigwa changa la macho!

Kaneno kalikotumika kwenye hiko kitabu cha historia ninayoizungumzia kuhusu kuhama kwa Sultan ni "Shifted".
Baada ya kifo cha baba yao aliyekuwa anatawala zanzibar na Oman (sikumbuki ni sultan yupi) kulitokea mtafuruku wa kugombea kiti miongoni mwa watoto wake hivyo ikabidi usultani ugawanywe mwingine Zanzibar na mwingine Oman. Kujibu swali lako kiti hakikubaki kitupu Zanzibar kulikuwa na mtawala wake na Oman vilevile kulikuwa na mtawala wake anayejitegemea na ndo maana alivyopinduliwa ilibidi akimbilie Uingereza badala ya Oman kwani kule tayari kulikuwa na mtawala(na zingatia kuwa Oman na Uingereza zina mahusiano ya muda mrefu ya kidiplomasia)
 
dudus

Hio ishu ilikuwa i hivi.

Sultana wa Oman aliingia mkataba na viongozi wa Zanzibar na ukanda wa pwani kiujumla kuwa akiwezo kupambana na Mreno akamng'oa wao watakubali kuwa chini ya himaya yake. Sultan alipambana na mreno mpaka akamfurusha kabisa akabakia Msumbuji huko ila hapa kwetu akakimbia, ndio Sultan wa Oman alipoanza kuwa mtawala wa Zanzibar. na baadae alihamisha makao makuu yake kuwa Zanziba kwa maana Zanzibar ilifikia kuwa nahadhi kubwa zaidi kwa kila kitu kuliko Oman. Ila Baada ya Sultan Sayyid Said kufariki kulitokea ugomvi mkubwa baina ya watoto wake katia nani atarithi ufalme ule, Na ndio serikali ya uingereza iliingilia kati na ndio wakazigawa nchi na Oman ikawa kwake Mbali Na Zanzibar ikawa kwake mbali, kwa hiyo kila sehemu pakaanzishwa utawala wake ambao hapakau na maingiliano yoyote baina yao. Na ndio. Kwahiyo Masultan wa Zanzibar walikuwa na asili tu ya Oman kifamilia lakini hapakuwa na maingiliano baina ya Zanzibar na Oman.

Na ndio mana baada ya mapinduzi Sultan alikimbilia U.K na ameishi maisha yake yote kama ni mkimbizi kutoka Zanzibar na sio mu oman, mana hajawahi kuwa mu oman alikuwa ni Mzanzibari.
 
Actually, kwa mujibu wa vitabu, Sultan Seyyid Said ndiye aliyehamisha makao kutoka Muscat hadi Zanzibar mwaka 1840.

That means, during his reign from Zanzibar kiti cha Muscat kilkuwa kutupu. Mtafaruku, according to you, ulitokea baada ya kifo chake. That means kwa kipindi fulani before his death kiti cha Muscat kilkuwa kitupu?
 
Hao viongozi wa Zanzibar waliokubaliana na Oman kuwaondosha wareno ni akina na nani na mwaka gani
 
Actually, kwa mujibu wa vitabu, Sultan Seyyid Said ndiye aliyehamisha makao kutoka Muscat hadi Zanzibar mwaka 1840.

That means, during his reign from Zanzibar kiti cha Muscat kilkuwa kutupu. Mtafaruku, according to you, ulitokea baada ya kifo chake. That means kwa kipindi fulani before his death kiti cha Muscat kilkuwa kitupu?
Alitawala Oman na Zanzibar ila makao makuu yalikuwa Zanzibar ni kama Uingereza alivyotawala maeneo mengi tu lakini makao makuu yalibakia London
 
dudus

Hio ishu ilikuwa i hivi.

Sultana wa Oman aliingia mkataba na viongozi wa Zanzibar na ukanda wa pwani kiujumla kuwa akiwezo kupambana na Mreno akamng'oa wao watakubali kuwa chini ya himaya yake. Sultan alipambana na mreno mpaka akamfurusha kabisa akabakia Msumbuji huko ila hapa kwetu akakimbia, ndio Sultan wa Oman alipoanza kuwa mtawala wa Zanzibar. na baadae alihamisha makao makuu yake kuwa Zanziba kwa maana Zanzibar ilifikia kuwa nahadhi kubwa zaidi kwa kila kitu kuliko Oman. Ila Baada ya Sultan Sayyid Said kufariki kulitokea ugomvi mkubwa baina ya watoto wake katia nani atarithi ufalme ule, Na ndio serikali ya uingereza iliingilia kati na ndio wakazigawa nchi na Oman ikawa kwake Mbali Na Zanzibar ikawa kwake mbali, kwa hiyo kila sehemu pakaanzishwa utawala wake ambao hapakau na maingiliano yoyote baina yao. Na ndio. Kwahiyo Masultan wa Zanzibar walikuwa na asili tu ya Oman kifamilia lakini hapakuwa na maingiliano baina ya Zanzibar na Oman.

Na ndio mana baada ya mapinduzi Sultan alikimbilia U.K na ameishi maisha yake yote kama ni mkimbizi kutoka Zanzibar na sio mu oman, mana hajawahi kuwa mu oman alikuwa ni Mzanzibari.
Umedadavua vizuri sana; shukran. Mambo mawili. Mosi, inatoa picha Sultan Seyyid Said hakuwa mzalendo nchi yake ya Oman. Haikupata kusikika ufalme kuhamisha kitovu cha utawala kwenda ardhi nyingine ya mbali; sio himaya ya Roma, Uajemi, Ujapan, Uingereza, n.k ziliwahi kufanya hivyo. Something was wrong.

Pili, kama mojawapo wa watoto aligawiwa Zanzibar na kwa sehemu kubwa kizazi cha Zanzibar kilikuwa na nasaba ya Oman hisia za "huyu sio mwenzetu" hadi kupelekea mapinduzi zilitokea wapi?
 
Alitawala Oman na Zanzibar ila makao makuu yalikuwa Zanzibar ni kama Uingereza alivyotawala maeneo mengi tu lakini makao makuu yalibakia London
My point is, ni jambo la ajabu mfalme kuhamisha kitovu cha utawala kwenda nchi ya kigeni! Zanzibar ingebaki kuwa koloni lakini orders zikitokea Muscat kwangu isingekuwa issue.
 
mambo yalikua ni vice verser, Order zilikuwa zinatoka Zanzibar zinakwenda Oman
 
Umedadavua vizuri sana; shukran. Mambo mawili. Mosi, inatoa picha Sultan Seyyid Said hakuwa mzalendo nchi yake ya Oman. Haikupata kusikika ufalme kuhamisha kitovu cha utawala kwenda ardhi nyingine ya mbali; sio himaya ya Roma, Uajemi, Ujapan, Uingereza, n.k ziliwahi kufanya hivyo. Something was wrong.

Pili, kama mojawapo wa watoto aligawiwa Zanzibar na kwa sehemu kubwa kizazi cha Zanzibar kilikuwa na nasaba ya Oman hisia za "huyu sio mwenzetu" hadi kupelekea mapinduzi zilitokea wapi?

Mapinduzi ya Zanzibar hayakulenga kumuondoa Sultan, hakuwa the main Target, Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ni kwa ajili ya chama cha ZNP. hizo story za Sultan na propaganda uchwara za CCM kujaribu ku justify walioyafanya.
 
Duh! Historia inatakiwa kuandikwa upya kwa kweli!
 
Wazanzibari walitakiwa wafurahi kwamba wanaitawala Oman!

nahivyo ndivo ilivyokuwa. na ndio Mana Wa Oman walikuwa wanazamia Zanzibar kuja kusaka life na sio wazanzibari kuhamia Oman kwenda kusaka life
 
Back
Top Bottom