Unajua mara nyingi ili kijana uweze kujenga ukaribu na mdada wa kazi hadi kufikia hatua ya kutembea nae, lazima muwe mnaishi under the same roof. Maana yake, kijana Bado anakuwa tegemezi kwa wazazi.
Pili, vijana wakiwa katika balehe ndo huanzisha mahusiano na wadada wa kazi, free sex, no extra costs, plus mara nyingi kwa vijana hii ndio inakuwa first love yao, they get carried by the wave na kuhisi wamepata mke (1st love wajua ilivyo)
So, wazazi kuzuia ili jambo, not all the time inakuwa sababu ya negative reasons.