Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

Labda nianze kunywa pombe. Ila na akili zangu timamu, siwezi kurudi pale...sio kwa ubaya lakini hata wewe usingeweza ๐Ÿ˜…
Ndio maana mzee wako anashangaa na kujiuliza ulirogwa au?๐Ÿ˜‚

Hivi dogo hata kumuulizia bado hamuulizii.
 
Sasa kama wazee wao wanatuchukulia mabinti zetu kuna ubaya gani na hao mijimama ikiwachukulia mabinti vijana wao.?
 
Kuna namna wanaume wanasababisha..
Unakuta mtu wa makamo ana wake wanne, nguvu yenyewe tia maji, akipiga kimoja chali afu anajikusanya wiki nzima ndo aweze kumudu kimoja tena!

Meanwhile hao wanawake wanne kila mmoja anataka afikishwe kileleni angalau mara 2 au 3 kwa wiki, atawatosheleza vipi?

Hapo lazima serengeti wanunuliwe waingie mzigoni
 
Wewe peleka moto tu.
 
Aaah!! Msemage na vibabu vinavyotembea na vitoto!!
 
Kuna mbunge mmoja kwenye awamu ya 4 alikuwa anaondoka na dogo mmoja mwenye 20s yoa sujui aliishia wapi
Yule Maza mzee aliolewa kabisa na yule dogo mshkaji.

Akachukua na vyeti vya mwana akavifungia.
 
Hahaha
 
Teeee
 
Hahaha
 
Hakuna ubaya mradi wote waridhike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ