Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

Labda nianze kunywa pombe. Ila na akili zangu timamu, siwezi kurudi pale...sio kwa ubaya lakini hata wewe usingeweza 😅
Ndio maana mzee wako anashangaa na kujiuliza ulirogwa au?😂

Hivi dogo hata kumuulizia bado hamuulizii.
 
Sasa kama wazee wao wanatuchukulia mabinti zetu kuna ubaya gani na hao mijimama ikiwachukulia mabinti vijana wao.?
 
Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23]. Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa?

Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA [emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti boy.

Nauliza, tutafika?
Kuna namna wanaume wanasababisha..
Unakuta mtu wa makamo ana wake wanne, nguvu yenyewe tia maji, akipiga kimoja chali afu anajikusanya wiki nzima ndo aweze kumudu kimoja tena!

Meanwhile hao wanawake wanne kila mmoja anataka afikishwe kileleni angalau mara 2 au 3 kwa wiki, atawatosheleza vipi?

Hapo lazima serengeti wanunuliwe waingie mzigoni
 
Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23]. Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa?

Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA [emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti boy.

Nauliza, tutafika?
Wewe peleka moto tu.
 
Aaah!! Msemage na vibabu vinavyotembea na vitoto!!
 
Kuna mbunge mmoja kwenye awamu ya 4 alikuwa anaondoka na dogo mmoja mwenye 20s yoa sujui aliishia wapi
Yule Maza mzee aliolewa kabisa na yule dogo mshkaji.

Akachukua na vyeti vya mwana akavifungia.
 
Dar ndo inaongoza tz kwa madogo kisukuma ma semi trailer( majimama).
Imekua Kama fashion me mwenyewe na 35 but napushi semi no 56 ilinitaka yenyewe na mm snaga uchoyo me mwanamke akinitaka nampea chenye anataka except pale nanyeaga lakini dushe lipo kwa ajili yao. Waleteni masingo mama. Mishangazi na wale wabibi wasiotaka kuzeeka waje kwangu kwa maana kinyambulilo changu kinawahitaji
Hahaha
 
Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23]. Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa?

Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA [emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti boy.

Nauliza, tutafika?
Teeee
 
Sio miaka mingi iliyopita yupo Shangaz moja ilitokea kufahamiana maana alikuwa jirani tu , sasa nilikuwa single kwa huo' muda maza Naye akawa ananishobokea , leo hukwenda kazini, Mara nilikuona Ila uko busy ...nikaona isiwe tabu ...siku mojà nikatania nipo home njoo nitembelee, akasema nitakuja jioni nikasema kweli ?
Kasema ndio nipe namba yako' nikampa, jioni simu Niko Mtaa wako nakuja, nikamwelekeza na alivyokuwa mashalla jeupe mmmmh nilishindwa na mkufu kama wa dhabu kiunoni Alivyo inama kimakusudi la ulah ..cjui yaliyo endelea
Ila nikiri tu nilipata tabu Sana kuachana Naye maana alivyokuwa ananiganda japo kwa siri. Alikuwa vizuri lakini umri dah! nilikuwa najuta moyoni.
Ni maombi tu yalitoa kwake japo alikuwa Anatuma sms. shiiiih ww, mtamu
,Nikasema Mungu wangu namwachaje huyu?
Ashukuruwe Mungu Nilipata sababu Tangibly kabisa🙌 Nikaachana naye.
Hahaha
 
Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23]. Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa?

Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA [emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti boy.

Nauliza, tutafika?
Hakuna ubaya mradi wote waridhike
 
Back
Top Bottom