Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23]. Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa?
Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA [emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti boy.
Nauliza, tutafika?