Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
347
Reaction score
465
Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23]. Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa?

Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA [emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti boy.

Nauliza, tutafika?
 
Leo fipo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu.Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu,ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23] Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa.Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA[emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti b..y NAULIZA JE TUTAFIKA?
Kama vijana wenyewe tumeridhia, shida Iko wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom