Wamama kuweni na huruma na watoto wenu.

Wamama kuweni na huruma na watoto wenu.

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,720
Reaction score
5,286
Nakatiza pande za mtaa wa Kongo.
Nyomi la hapa si la mchezo.
Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni.
Daah unaishiwa pozi.
 
Back
Top Bottom