ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,720 Reaction score 5,286 Mar 26, 2025 #1 Nakatiza pande za mtaa wa Kongo. Nyomi la hapa si la mchezo. Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni. Daah unaishiwa pozi.
Nakatiza pande za mtaa wa Kongo. Nyomi la hapa si la mchezo. Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni. Daah unaishiwa pozi.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Mar 26, 2025 #2 Wahurumie .. Maana inabidi watoke na hawana mtu wa kumwachia mtoto.. Pengine mume yupo lakini pengine ni
Wahurumie .. Maana inabidi watoke na hawana mtu wa kumwachia mtoto.. Pengine mume yupo lakini pengine ni