Wamama mna mambo

Wamama mna mambo

Wameitamani naniiiii........inawezekana ni ================>
hehhehe bora hata hujamalizia
Yaani wewe huyo mchawi kukamatwa haijakustua, kilichokustua ni wamama kuwa wengi. Lol!
na hapo inaonyesha ungejifanya unaonyesha ustaarabu wa kumfunika na nguo hao wamama hapao wangekun'gan'gania hahaha
Dena na mimi tumeona wanaume wapo na si mmoja kama unavyosema hata hivyo hakuna ubaya kwa wanawake kumangalia rubani aliyeanguka

hehehheheh!! mimi mwenyewe sijasema kuwa kuna ubaya jamani
 
Back
Top Bottom