Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
- #41
hehhehe bora hata hujamaliziaWameitamani naniiiii........inawezekana ni ================>
na hapo inaonyesha ungejifanya unaonyesha ustaarabu wa kumfunika na nguo hao wamama hapao wangekun'gan'gania hahahaYaani wewe huyo mchawi kukamatwa haijakustua, kilichokustua ni wamama kuwa wengi. Lol!
Dena na mimi tumeona wanaume wapo na si mmoja kama unavyosema hata hivyo hakuna ubaya kwa wanawake kumangalia rubani aliyeanguka
hehehheheh!! mimi mwenyewe sijasema kuwa kuna ubaya jamani