Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Apr 17, 2011 Thread starter #41 luckyperc said: Wameitamani naniiiii........inawezekana ni ================> Click to expand... hehhehe bora hata hujamalizia Husninyo said: Yaani wewe huyo mchawi kukamatwa haijakustua, kilichokustua ni wamama kuwa wengi. Lol! Click to expand... na hapo inaonyesha ungejifanya unaonyesha ustaarabu wa kumfunika na nguo hao wamama hapao wangekun'gan'gania hahaha One and Only said: Dena na mimi tumeona wanaume wapo na si mmoja kama unavyosema hata hivyo hakuna ubaya kwa wanawake kumangalia rubani aliyeanguka Click to expand... hehehheheh!! mimi mwenyewe sijasema kuwa kuna ubaya jamani
luckyperc said: Wameitamani naniiiii........inawezekana ni ================> Click to expand... hehhehe bora hata hujamalizia Husninyo said: Yaani wewe huyo mchawi kukamatwa haijakustua, kilichokustua ni wamama kuwa wengi. Lol! Click to expand... na hapo inaonyesha ungejifanya unaonyesha ustaarabu wa kumfunika na nguo hao wamama hapao wangekun'gan'gania hahaha One and Only said: Dena na mimi tumeona wanaume wapo na si mmoja kama unavyosema hata hivyo hakuna ubaya kwa wanawake kumangalia rubani aliyeanguka Click to expand... hehehheheh!! mimi mwenyewe sijasema kuwa kuna ubaya jamani