Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh!Sio mbaya mbuzi kufia kwa muuza supu
Nina shemeji yangu huwa analalamika sana kuhusu wakerewe kuwa wambea sana leo nimeamini, [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Mimi ni mwanamke!
Looh! kumbe wewe ni mtu wa Ukerewe, hivi kuna watu wambeya kama wanaume wa Ukerewe!!! Naijua Ukerewe hadi Mahande, Muhande, Kagunguli, Bulamba, Msozi
Wakazi wa hicho kisiwa ni balaaNina shemeji yangu huwa analalamika sana kuhusu wakerewe kuwa wambea sana leo nimeamini, [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
hahahahaahahhaMkuu NAHUJA Sia ajabu saa hizi wamama hao wameunganishwa na kesi ya maandamano ya Dar. Police sio wa kuchezea chezea nyakati hizi za uchunguzi wa silaha za jadi na zile za moto huwa wanatafuta wahusika Tanzania nzima [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
KanjanjaDada wewe ni mwanahabari?