Wamama wajiponza wenyewe kwa Polisi bila kujua

wenzako wana kamsemo kapya wanasema "ukimaliza comment hapa pitia na huku!" wewe vipi hauna kwingine tukapitie napo!?..
 
Hata hivyo wewe ni mbeya.....hivi kweli mwanaume mzima unapita sehemu unakuta watu wanatukanana unaahirisha safari yako na kuanza kushuhudia hadi mwisho wa ugonvi!!!. Ingekuwa kule kwetu ilangara maeneo ya bwisya kisiwani ukerewe tungekuita "dume mdebwedo".
 
Kwani mtoa mada unamjua? Ni mwanaume?
 
Hata hivyo wewe ni mbeya.....hivi kweli mwanaume mzima unapita sehemu unakuta watu wanatukanana unaahirisha safari yako na kuanza kushuhudia hadi mwisho wa ugonvi!!!. Ingekuwa kule kwetu ilangara maeneo ya bwisya kisiwani ukerewe tungekuita "dume mdebwedo".
Mimi ni mwanamke!
Looh! kumbe wewe ni mtu wa Ukerewe, hivi kuna watu wambeya kama wanaume wa Ukerewe!!! Naijua Ukerewe hadi Mahande, Muhande, Kagunguli, Bulamba, Msozi
 
thread za kuandika ukiwa umeazima laptop na modem ya shemeji, yeye anajua unatuma CV kumbe wewe uko bize kutunga thread
 
Mimi ni mwanamke!
Looh! kumbe wewe ni mtu wa Ukerewe, hivi kuna watu wambeya kama wanaume wa Ukerewe!!! Naijua Ukerewe hadi Mahande, Muhande, Kagunguli, Bulamba, Msozi
Mimi mkerewe origional wa mriti. Naomba uni- pm tuyajenge mpenzi.
 
Back
Top Bottom