Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Wamama ni kiumbe kinachothaminiwa inapokuja masuala haya ya kuwekwa lupango labda wafanye makosa yale mazitoSidhani kama walihifadhiwa! japo sikufuatilia movie hadi mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamama ni kiumbe kinachothaminiwa inapokuja masuala haya ya kuwekwa lupango labda wafanye makosa yale mazitoSidhani kama walihifadhiwa! japo sikufuatilia movie hadi mwisho
Hata mie niliwaza tu kuwa watakwenda kuwaonya madhara ya kupigana hadharani na kutoa lugha ya matusiWamama ni kiumbe kinachothaminiwa inapokuja masuala haya ya kuwekwa lupango labda wafanye makosa yale mazito
RIZIKI INATOKA KWA MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI NA SIYO MIKONONI MWA YEYOTE.NINGEPENDA KUJUA HADITHI/STORY HII YATUFUNZA NINI....!!!
Kuwa tusipigane,Kutukanana au Kugombea wateja???!
Kwani mtoa mada unamjua? Ni mwanaume?Hata hivyo wewe ni mbeya.....hivi kweli mwanaume mzima unapita sehemu unakuta watu wanatukanana unaahirisha safari yako na kuanza kushuhudia hadi mwisho wa ugonvi!!!. Ingekuwa kule kwetu ilangara maeneo ya bwisya kisiwani ukerewe tungekuita "dume mdebwedo".
sawa sawaRIZIKI INATOKA KWA MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI NA SIYO MIKONONI MWA YEYOTE.
??????!!!!!wenzako wana kamsemo kapya wanasema "ukimaliza comment hapa pitia na huku!" wewe vipi hauna kwingine tukapitie napo!?..
Labda JamhuriKwenye kesi hiyo mlalamikaji ni nan?
Ndio hivyo!Acha bwana.
Acha bwana eeeh..Ndio hivyo!
Mimi ni mwanamke!Hata hivyo wewe ni mbeya.....hivi kweli mwanaume mzima unapita sehemu unakuta watu wanatukanana unaahirisha safari yako na kuanza kushuhudia hadi mwisho wa ugonvi!!!. Ingekuwa kule kwetu ilangara maeneo ya bwisya kisiwani ukerewe tungekuita "dume mdebwedo".
Huyo ameseme ni mtu wa kisiwa cha Ukerewe hapa Mwanza, hao tunawajua kuliko wanavyojijua! mpyuuuuuuuuuuuu!!!!Kwani mtoa mada unamjua? Ni mwanaume?
Mimi mkerewe origional wa mriti. Naomba uni- pm tuyajenge mpenzi.Mimi ni mwanamke!
Looh! kumbe wewe ni mtu wa Ukerewe, hivi kuna watu wambeya kama wanaume wa Ukerewe!!! Naijua Ukerewe hadi Mahande, Muhande, Kagunguli, Bulamba, Msozi
Na mie niko hapa Malegea/Chamakwi karibu na NamagondoMimi mkerewe origional wa mriti. Naomba uni- pm tuyajenge mpenzi.
Ni pm tuyajenge mpendwa.Na mie niko hapa Malegea/Chamakwi karibu na Namagondo
wakondia rataNi pm tuyajenge mpendwa.