Wamanyema ndio kabila pekee lenye watu majasiri, shupavu, na wajanja hapa nchini

Umesahau kua wadada wa kimanyema sio wachoyo...nimeruka nao sana enzi nasoma tabora mitaa ya kanyenye,mwz road,rufita,isevya wamejaa huko
 
Yaani list yako imejaa waganga na wasanii et wajanja .wamanyema ndo watumwa waliobebeshwa ndovu na wazungu . Kuna mtu anawaza waganga ka mmaanyema. Hapo si umemtaja sheikh yaya yule tapeli kwamba yule mtoto wa mjini.mi toka kigoma naowakubali waha
Wanapiga kazi na wanasafiri kujifunza kwenu ujiji hadi leo ukiwa na mil 5 unapata nyumba kabisa
 
Swala la ndoa ni la mtu binafsi, karibu mikoa yote Tz watu wanauwana kwa sababu za wivu wa kimapenzi. Hivyo hii ni sifa ya taifa sio kabila.
Pana makabila waliozidi kwa usumbufu labda awe amesoma na anayo dini.
Mfano wajita,wadigo
 
Sheikh Yahaya!!

Kwahiyo mtu akiwa mwizi, basi kabila lake lote linakuwa la wezi?
 
UZI WA HOVYO KABISA!!!
 
Mlianza wachaga..mkaja wahaya..mkaja wasukuma..juzi mlikua kwa wakinga jana kwa wabena leo wamanyema...sawa ngoja tuone kesho mtahamia wapi.

Sisi wahadzabe tupo zetu maporini huku tunakula matunda na kuwinda digidigi.

#MaendeleoHayanaChama
Ila umesahau kuwaambia kuwa nyani walioko katika mapori yetu ni watamu sana. Ukiwa na asali na matunda mwitu huna hata hamu ya kula hizo kokoto zao.
 
Wamanyema nawaona mamwinyi sana
Waha ndiyo wapambanaji

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…