Tetesi: Wamarekani kuvamia Area 51

Mvamizi anatoa taarifa kua atavamia eneo gani,tarehe ngapi na saa ngapi na idadi yao hao wavamizi watakua ni watu wangapi!! haya ni maajabu ya karne!
Maajabu hayo yanayashinda maajabu ya watekwaji wa bongo?
 
It Ain't Real. It's Fake! Na wala sidhani hiyo idadi ya watu inaweza kuwepo hiyo siku na pia hilo jangwa ni Very Risky kwa umati mkubwa kama huo.

Anyway, licha ya hivyo jamaa (USAF) wamejipanga kuilinda Area 51 yao na wanawakumbusha tu kwamba "Trespassers Will Be Shot, Survivors Will Be Shot Again!"
 
Hao ni wapuuzi tu kwenye mitandao ya kijamii wanatumia hyo hashtag #stormarea51 most of them wana make jokes tu hakuna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…