UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Maajabu hayo yanayashinda maajabu ya watekwaji wa bongo?Mvamizi anatoa taarifa kua atavamia eneo gani,tarehe ngapi na saa ngapi na idadi yao hao wavamizi watakua ni watu wangapi!! haya ni maajabu ya karne!