Tetesi: Wamarekani kuvamia Area 51

Tetesi: Wamarekani kuvamia Area 51

dr shayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
555
Reaction score
980
Zaidi ya Wamarekani 400,000 wametia saini azimio la kuvamia kambi maarufu ya Jeshi la Anga la nchi hiyo, Area 51. Wanaamini katika kambi hiyo kunafichwa viumbe toka sayari nyingine. Wanalenga kuvamia Septemba 20 saa tisa usiku, na kwamba jeshi haliwezi kuwaua watu wote 400,000+.
FB_IMG_1563012796800.jpeg
 
Wamarekani gani wana akili zimejaa matope kiasi hicho.......unavamia unatoa taarifa
 
Back
Top Bottom