dr shayo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 555
- 980
Zaidi ya Wamarekani 400,000 wametia saini azimio la kuvamia kambi maarufu ya Jeshi la Anga la nchi hiyo, Area 51. Wanaamini katika kambi hiyo kunafichwa viumbe toka sayari nyingine. Wanalenga kuvamia Septemba 20 saa tisa usiku, na kwamba jeshi haliwezi kuwaua watu wote 400,000+.