Wamarekani na wazungu wasituingilie mambo yetu ya ndani, sisi ni Taifa huru

Wamarekani na wazungu wasituingilie mambo yetu ya ndani, sisi ni Taifa huru

Status
Not open for further replies.
Hutakuwa huru dunia hii kama kujenga vyoo vya wanafunzi wako unategemea wahisani
 
Kataeni na pesa zao
Mkiyakataaa hayo mapesa vyoo vya shule za kata mtajenga na nini ... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huoni ajabu kuwa watoto hawana vyoo shuleni lakini JIWE anataka kujenga UWANJA WA KIMATAIFA WA MICHEZO huko Chato!!! A case of misdirected priorities.
 
Huoni ajabu kuwa watoto hawana vyoo shuleni lakini JIWE anataka kujenga UWANJA WA KIMATAIFA WA MICHEZO huko Chato!!! A case of misdirected priorities.
Hi koment imenigusa Sana,unajenga uwanja wa michezo Chato huku Shule hazina vyoo.
Lol!

Hata uwanja wa ndege Chato haukua na umuhimu kwa Sasa uwanja wa Mwanza na Bukoba vingeboreshwa.
Madarasa,madawati vyoo mahospitali Ni muhimu sana
 
Utetezi wa wanaCCm na viongozi wajinga kuwa hawastahili kuhojiwa na mataifa mengine kuhusu uvunjwaji wa haki za binadamu na uporaji wa haki za kidemokrasia, ni sawa na baba mwendawazimu anayeamua kuwaua wanawe kila wanapomhoji juu ya matendo yake mabaya, kisha akiulizwa na majirani kutokana na huo uovu wake, yeye akajitetea kuwa ni familia inayojitegemea na kwamba watoto ni wake, hivyo hastahili kuhojiwa na yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Ujinga kuamini Demokrasia inazuia ama kuchelewesha maendeleo.
Leo Nchi masikini ndizo zinashindana kukimbilia misaada kutoka kwa Nchi zenye Demokrasia imara. Mjinga pekee ndo anaweza kuamini ukiwapa watu Uhuru watachelewesha maendeleo.
Tatizo la kukwama kwa maendeleo kwa Nchi nyingi masikini ni UFISADI. Na MAFISADI wengi hawapendi Demokrasia kwa hofu ya kuumbuliwa na UFISADI wao.
Nyerere huyo huyo aliwahi kuulizwa katika moja ya mahojiano yake kwamba atachagua nini Kati ya demokrasia na maendeleo akajibu kuwa yeye anaongoza Taifa lenye watu wenye mahitaji mengi muhimu hivyo atachagua maendeleo.

Hivyo mzee don't be carried away na hizo lugha za hao mabeberu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom