KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
🤣🤣🤣Hata wàtanzania hatuutaki ushoga ila Chadema wanaita faragha za watu zisiingiliwe! Tundu lissu hovyo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Hata wàtanzania hatuutaki ushoga ila Chadema wanaita faragha za watu zisiingiliwe! Tundu lissu hovyo kabisa.
Siasa za kimalaya 😁Dunia ilipo hivi sasa haihitaji watu wa mipasho na wasikiliza taarabu, dunia hivi sasa inahitaji watu wagumu na wenye maamuzi ya kiume, muda umetuacha.
Hawa waimba taarab wakae pembeni kwanza wanaume waingie kazini kunyoosha palipo pinda baadae sana waimba taarab watarudi kuendelea kuimba taarabu na mipasho baada ya wanaume kufanya kazi.
Katika huu wakati ambapo dunia ipo katika wakati wa taharuki, karne ambayo dunia inaweza kushuhudia u superpower ukitoka magharibi kuelekea mashariki, wanahitajika viongozi makini na wenye weledi.
Hata huku Africa tunahitaji viongozi wenye maono na uzalendo, wanaoelewa siasa za kidunia vyema.....
Tanzania imelala na siasa zenu za (amejenga madarasa sita, zahanati mbili, amejenga frame za maduka, amenunua bodaboda, amesafiri na wasanii, pato limeongezeka, blah blah blah).... Siasa za kinafiki na wizi siasa za kimalaya... siasa za uchawa... angalieni wenzenu maamuzi wanayofanya...
Wazungu sio wajinga wanaelewa wanahitaji kiongozi gani kwa wakati gani.
AhahahaUmesema kweli yaani; hata mimi nawachukia sana Chadema, yaani Chadema wamesababisha yule mbunge wa kule Babati aliyemuingizia chupa yule kijana asipelekwe mahakamani, yaani mshtaki mkuu akakataa kabisa yule mbunge asiwe kabisa na kesi, Chadema hawakuishia hapo, yule gavana wa kule kwa Wanyantuzu nae aliyemfira yule binti wa chuo kikuu nae hivo hivo tu, usisahau danadana za wale askari walio mpiga mtungo yule binti wa Yombo, Chadema hao yaani. CCM ilivoingilia kati ndio walau walipelekwa mahakamani, wapuuzi sana Chadema yaani
Weka nyama yako sasaUmeandika utumbo tu..!! Totally crap.
Siku CCM wakiingia madarakani nadhani watakomesha Ushoga ,wizi,usagaji na ufisadi.Bonge ya suto na falsafa. Hata mimi nawachukia Chadema kwa sababu wameruhusu baa na nyumba za kuzinia kila mtaa kila mji nchini. Nawachukia Chadema kwa sababu wamezidisha kupenda ushoga hadi wanafuga chawa na machawa.
Sana.Mkuu umeandika kwa uchungu sana.
“Mhafidhina” kaja😎!Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina.
Harris alijifanya kutetea dhambi hii akidhani wengi wangemchagua asijue wanazichukia. Trump, pamoja na madhaifu yake, ana sifa ya kusimamia anachoamini hasa misingi ya familia. Anapinga ushoga moja kwa moja. Anachukia wageni sawa na wazungu wengine.
Harris, mswahili toka Jamaica alijidanganya kuwa angewadanganya wamarekani wamchague kuwa rais wao.
Kwa waswahili malimbukeni wanaotetea upumbavu huu, wanapaswa kujifunza juu ya unafiki na kigeugeu vya wazungu na mizungu yao hadi wakaitwa wazungu.
Wakija Afrika wanatuhadaa kuwa wanapigania haki za binadamu zikiwamo laana za usagaji na ushoga wakati wanauchukia. Tia akilini.
Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina.