Wamarekani ni wanafiki, waliinyima Uganda misaada kukataa ushoga wakati nao hawaupendi

Siasa za kimalaya 😁
 
Ahahaha
 
Trump atamaliza tatizo la wanaume kushare kitanda kila kona, Cape Town hadi Cairo hawatakuwa salama. Shule za bweni, jela, site za ujenzi ndio pekee wanaume watalala pamoja. Na atakuja na namna mpya tutakayotumia kuwaadhibu wabaya wetu mfano wale tutakaowafumania na wake zetu.
 
Bonge ya suto na falsafa. Hata mimi nawachukia Chadema kwa sababu wameruhusu baa na nyumba za kuzinia kila mtaa kila mji nchini. Nawachukia Chadema kwa sababu wamezidisha kupenda ushoga hadi wanafuga chawa na machawa.
Siku CCM wakiingia madarakani nadhani watakomesha Ushoga ,wizi,usagaji na ufisadi.

Kwa sasa utawala huu wa miaka 60 wa chadema umeshindwa
 
“Mhafidhina” kaja😎!

Swali nililobakiwa nalo:

Trump amekuwa akilalamika kwamba aliibiwa uchaguzi 2020.

Najiuliza, waliwezaje kumwibia kipindi akiwa Rais halafu wameshindwaje kufanya hivyo tena kipindi ambacho sio Rais?🤔
 

Sasa kaka unalalamika kwa vitu vya msaada utadhani hao Uganda hiyo ni haki yao? Waswahili wanasema
Cha mtu ..... ukitaka kupewa vya bure vinakuja na string attached.. ofcourse misaada yote ya wazungu ina masharti ambayo sio rafiki kwa Africa..

Swala hapo ni kuondokana na kutegemea misaada ila Africa kwasababu tunapenda vya bure ndio maana tunageuka machawa na kuona misaada kama vile haki yetu

50+ years ago nchi nyingi za Asia ikiwemo korea, indonesia na wengine tulikuwa hatupishan sana uchumi yaan kama vile UG TZ na KE zilivyo sasa hivi, ila sasa hivi wao wako dunia ingine kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…