Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi.
Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu mbaya kama anavyochafuliwa na US+NATO. "Putin ni rais mzalendo wa nchi yake, tunawahitaji kina Putin wengi zaidi, Marekani pia yawahitaji kina Putin wengi". Waliongea waandamanaji hao.
Waandamanaji hao pia wamelaani serikali ya Marekani kufuja pesa za walipa kodi wa nchi hiyo (USA) kwa kudhamini vita ya Ukraine wakati walipakodi hao hawanufaiki kwa chochote na vita hivyo zaidi ya kuteseka na kupanda kwa gharama za wese na maisha kwa ujumla.
======