Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yako ndio.takataka na wewe mwengeweMiaka hii ukiona mtu anatetea marekani ni aidha shoga, feminists au fisadi. Watu wanaojitambua wameshaelewa marekani takataka.
Mi natumia mjapani kuanzia gari simu hadi electronics. Situmii vifaa vya mashoga wenzenu wa USA.Alafu usikute simu , website , internet unayotumia , vimetokana na huyo shoga unayemsemea
Brother unapenda sana kutaja sana mashoga kwenye comment zako???Hata AIDS na covid-19 hao hao mashoga ndio wametengeneza
Bro mimi nipo USA mbona sioni mashoga kwa kiwango hicho.Au nyinyi mnaonea wivu sisi wamarekani ndio maana mnatunyima uraia pacha.Mi natumia mjapani kuanzia gari simu hadi electronics. Situmii vifaa vya mashoga wenzenu wa USA.
Hili swali ni swali la kisomi zaidi na hakuna atakayeweza kukujibu mkuuMnatumia kweli vifaa vya China Japan lakini hivi mnajua alievigundua?
Hivi uraia pacha mnataka wa nin mkuu?Bro mimi nipo USA mbona sioni mashoga kwa kiwango hicho.Au nyinyi mnaonea wivu sisi wamarekani ndio maana mnatunyima uraia pacha.
Tuwekeze nyumbani mkuuHivi uraia pacha mnataka wa nin mkuu?
Hao wanatokea hood gani?????Historia ya 1967 ijirudie!View attachment 2526140View attachment 2526141
Spot on mkuu, tatizo kwa upande wa baadhi ya Watanzania ni wangapi wanalitambua hilo??Miaka hii ukiona mtu anatetea marekani ni aidha shoga, feminists au fisadi. Watu wanaojitambua wameshaelewa marekani takataka.
Ooh kumbe, basi tuwekeze kwa partnership mkuu. Tupo watu serious kama sisi pamoja na ndugu zako waaminufu wa huku TzTuwekeze nyumbani mkuu
Nanii ndugu mwenyewe wewe @ Mito.🤣🤣🤣😂😂😂Nitake radhi.Wewe mwenyewe mtoto wa mjini kama wanaija,utanipiga changa la uso 🤣🤣🤣😂😂😂 mkuu.!!!Ooh kumbe, basi tuwekeze kwa partnership mkuu. Tupo watu serious kama sisi pamoja na ndugu zako waaminufu wa huku Tz
Hapana sikumaanisha mimi mkuu. Nilimaanisha hivi mim na wewe tunafanya legal partnership tunawekeza pamoja. Then kwa vile wew uko mbali, nakuwa na ndugu yako unayemwamini wa huku Tz nasimamia naye hiyo investment yetu.Nanii ndugu mwenyewe wewe @ Mito.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Nitake radhi.Wewe mwenyewe mtoto wa mjini kama wanaija,utanipiga changa la uso [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu.!!!
Ila wakijitokeza hao walingaji wachache Kwa Urusi MNASHIKILIA BANGO ...akitoke Marekani ni kawaida aseee...nyieeeeNchi nzima wanakubalianaje na serikali? Lazima wapingaji wawepo.
Hata huko Urusi inapaswa pawepo na wapingaji.Ila wakijitokeza hao walingaji wachache Kwa Urusi MNASHIKILIA BANGO ...akitoke Marekani ni kawaida aseee...nyieeee
Nakutania mkuu nimekuelewa.Tutaongea inboxHapana sikumaanisha mimi mkuu. Nilimaanisha hivi mim na wewe tunafanya legal partnership tunawekeza pamoja. Then kwa vile wew uko mbali, nakuwa na ndugu yako unayemwamini wa huku Tz nasimamia naye hiyo investment yetu.
Urusi walikuepo wanaopinga vitaHata huko Urusi inapaswa pawepo na wapingaji.
Urusi walikuepo piaIla wakijitokeza hao walingaji wachache Kwa Urusi MNASHIKILIA BANGO ...akitoke Marekani ni kawaida aseee...nyieeee