Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

Umeelewa kilichomo humuuu
 

Mbona hata warusi waliandama a kupinga Vita.
 
Unawezaje kudhamini Vita ambayo haikuhusu ,unamaslahi gani nayo!!!?? USA wanaivuruga Sana hii dunia ,to be honest!! Hii tabia ya US kumgombanisha watu haitakoma labda viwanda vyao vya silaha vife ,la sivyo wakimaliza Ukraine ,watatafuta na pengine Tena !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…