Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kina nani haoAsa kwa nini mnakimbiliaga huko Marekani , Kwa nini msiwe mnaenda Uarabuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani haoAsa kwa nini mnakimbiliaga huko Marekani , Kwa nini msiwe mnaenda Uarabuni
Marekani haijawahi kustaarabikaRussia wapinga vita hawawezi kuandamana!
Kweli Marekani ni baba wa demokrasia, kitovu cha uvumilivu na ustaarabu.
Umeelewa kilichomo humuuu“The conflict has exposed a deep global divide, and the limits of U.S. influence over a rapidly shifting world order. Evidence abounds that the effort to isolate Putin has failed, and not just among Russian allies that could be expected to back Moscow, such as China and Iran.
India announced last week that its trade with Russia has grown by 400 percent since the invasion. In just the past six weeks, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has been welcomed in nine countries in Africa and the Middle East — including South Africa, whose foreign minister, Naledi Pandor, hailed their meeting as “wonderful” and called South Africa and Russia “friends.”
On Friday, a year after the invasion began, the South African navy will be engaged in military exercises with Russia and China in the Indian Ocean, sending a powerful signal of solidarity at a moment the United States had hoped would provide an opportunity for reinvigorated worldwide condemnations of Russia.”
A global divide on the Ukraine war is deepening -
The Washington Post
![]()
A global divide on the Ukraine war is deepening — The Washington Post
Beyond the West, the world is far from united on the issues raised by the Ukraine war and Russia often gets a sympathetic hearing in the Global South.apple.news
Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi.
Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu mbaya kama anavyochafuliwa na US+NATO. "Putin ni rais mzalendo wa nchi yake, tunawahitaji kina Putin wengi zaidi, Marekani pia yawahitaji kina Putin wengi". Waliongea waandamanaji hao.
Waandamanaji hao pia wamelaani serikali ya Marekani kufuja pesa za walipa kodi wa nchi hiyo (USA) kwa kudhamini vita ya Ukraine wakati walipakodi hao hawanufaiki kwa chochote na vita hivyo zaidi ya kuteseka na kupanda kwa gharama za wese na maisha kwa ujumla.
======
View attachment 2525781
View attachment 2525782
View attachment 2525783View attachment 2525785
View attachment 2525786
Polen sanaUshoga uliletwa Afrika Mashariki na waarabu na mashoga mara nyingi hupenda sana kulitamka hilo neno.
Wanao ongelea ushoga sana, mara nyingi ni mashoga, wanajificha kwenye kuwapondea.Alafu usikute simu , website , internet unayotumia , vimetokana na huyo shoga unayemsemea
Bure kabisa.Polen sana
Aiseeee...Bure kabisa.
Ukiishi tz , automatically unafuzu mafunzo ya kuwa chuki kwa waliokuzidi,Madogo wanawapondea wamarekani wakati hata hii jamii forum na google ni za wamarekani
Madogo wanawaita wamagharibi washenzi.Wakati kila kitu mpaka hii platform ni ya watu wa magharibiUkiishi tz , automatically unafuzu mafunzo ya kuwa chuki kwa waliokuzidi,
Bora mtu akose pesa kuliko kukosa akili za kuwaza kwa utimamu.Madogo wanawaita wamagharibi washenzi.Wakati kila kitu mpaka hii platform ni ya watu wa magharibi
Halafu jina la tabloid lenyewe, "DAILY BEAST*. Tafakari.Ebu kuweni serious na maisha🤣🤣🤣🤣🤣Hao vikongwe ndio wanaandamana.Mimi nilijua wanangu wa Compton Piru,s au wanangu wa Chicago BD,s...!!!Ndio wanaandamana
Hata wewe?Mashoga watakuja ku diss
Exactly.Miaka hii ukiona mtu anatetea marekani ni aidha shoga, feminists au fisadi. Watu wanaojitambua wameshaelewa marekani takataka.
Mi sio fan wa hao washenziHata wewe?
FactHalafu jina la tabloid lenyewe, "DAILY BEAST*. Tafakari.
Mbona unatumia nyenzo zao mkuu.Tukianzia na google,twitter,and ect....Mi sio fan wa hao washenzi
Mkuu mnatuonea wivu wamarekani au???Exactly.