Wamarekani wamshukia Hasheem Thabeet


ameen
bongo tuanzishe hizo sheria
 

Nieleweshe hapo..Inakuwaje na mwanamke analipa hiyo child support? Au kama baba ameamua kutunza mtoto?
 
Hasheem, pole bro. Karibu sana ujiunge na ACT chama cha ukweli
 
Dah jamaa anakoaea sana angeonyesha njaa piga kikapu, tengeneza fedha nyingi avoid scendo wekeza bongo sio kutembeza gegedo tu hiyo chanc kuna wabongo waliitamani sema bahati haikuwa upande wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…