Huna uhakika na unachoandika,ingekuwa na uhakika nacho ungeandika uzi humu jamvini,utujuze kabla hata ya uzi huu kuandikwa,nachelea kusema umedandia treni kwa mbele.
Marekani inaruhusu uraia pacha kwahiyo hawana sababu ya kuukana- kwanini wajifungie milango yao ya biashara. Sisì Tz tupo nyuma sana - nasikia majirani zetu Kenya, Rwanda wanakubali uraia pacha, sijui sisi WaTz tunaogopa nini?