Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Mama akoAliyekwambia nina shida ya kuheshimiwa na tutusa kama wewe nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama akoAliyekwambia nina shida ya kuheshimiwa na tutusa kama wewe nani?
Hapa tunakua tunazunguka hapo hapo, sawa mtu mwenye 80+b in tshs ni rapper tu asie na chakukwambia, ndio serikali na organization za aina hozo wapo sahihi mda wote na ndio wewe kama muafrica unapendwa na wazungu na unamanufaa nao kuliko hao waliokua slaves for 400+ years. Mi nmemaliza maana naona point ilikua inakuaje mnawapa free healthcare immugrants kama huelewi kwamba free healthcare manaake hao hao watu weusi unaowatukana wanalipia sona chakuongea na wewe.Nimekuuliza swali una amini undocumented immigrants hawalipi kodi? He who alleges must proof. The burden of proof lies to you kwa sababu wewe ndio ume raise hoja kwamba un documented immigrants hawalipi kodi . Mimi nimekuwa very surprised na madai yako haya kwa sababu nijuavyo mimi nchini Marekani hakuna mtu anaweza kuishi bila kulipa kodi. Ndio maana ulivyo sema undocumented immigrants hawalipi kodi nimeshtushwa. Wewe ndo unapaswa kunipa link inayo thibitisha kwamba un documented immigrants hawalipi kodi Marekani. Please don't shift the burden of proof to me.
Kama haijui wapo wangapi imejuaje kama they are undocumented?
Sasa mbona hueleweki mkuu mara unasema serikali haijui wapo wangapi mara nusu yao wanalipa kodi mara hawalipi kodi..which is which and which is not which?
So una amini serikali haijui undocumented immigrants wapo wangapi? In the US? Are u seriously?
Kwanini usinge waza positively ? Kwamba lengo la hao experts ni kuwa document hao unao waita un documented immigrants? Kwamba kutangaza kwenye media kwamba undocumented immigrants wanapewa huduma za afya bure itawafanya wengi wao kujitokeza kwenye huduma and in the due process serikali itaweza kuwa document?
Ndio maana nimesema hao experts wa California they know better than 50 Cent
1. Nimesoma.vitabu vyote vya 50.
2. Nimesikiliza nyimbo zake zote both kwenye albums kwenye mixtapes bila kusahau nyimbo alizo shirikishwa.
3. Nime research historia yake ya maisha na almost kila kitu kuhusu yeye infact huyu jamaa ninamfahamu kama Ninavyo jijua Mimi.
So kuhusu kumfahamu huyu jamaa na story ya maisha yake ondoa shaka kabisa kuhusu hilo mkuu.
It is so easy to be a millionaire in the US if you are a good rapper so there is nothing to be surprised about that.
Kuhusu hilo dili la Vitamin water hapo mbona ndo ume expose huyu favourite rapper wako. Kwanini?👇
First of all jamaa alivyo toka na Get Rich or Die Tryin hiyo 2003 ingawa nilikuwa bado teenager lakini nilikuwa najua jamaa ange kuja kuwa billionaire by 2005 kwa sababu aliuza a millions of copies plus he was so big and got a lot of endorsements.
By 2003 mwanzoni networth ya 50 ilikuwa 200 millions then 2004 he sold his Vitamin water for 100 millions something which made his networth 300 millions.
By now his networth is 30 million dollars.
So from 300 millions in 2004 to 30 millions in 2024 you still think this guy is smart? No he isnt. ( ukitaka kujua how much this guy is not smart tafuta kujua about his security budget. How much he spend on his security per year ndo utajua huyu jamaa kumbe ni bogus kabisa)
He was supposed to be a billionaire like Jay , Puffy or Dre.
Utasema hao walianza muziki kabla yake. What about Kanye? What about Rihanna?
Hata ndugu yetu Mnigeria Chamilionaire has more money than 50.
Hata Rick Ross is more wealthier than 50. Mifano ipo mingi sana.
Am regretting to tell you my brother, 50 is not yet rich and chances are he may never be a billionaire. If u think 50 is rich basi utakuwa na a very little understanding about rich and successful people.
50 is a guy who was just shot 9 times and survived the shooting and then he launched his rap career and became famous on that period.
He has never been smart to me and I am not intending to deem him smart any time sooner.
Wewe una muona smart probably kwa sababu upo obsessed nae. Ur mind is still stuck in the Get Rich or Die Tryin Era.
Nimegundua kitu kimoja kuhusu wewe ambacho wanacho baadhi ya waafrika nacho ni u guys are so much obsessed by African American people. U think they are right in everything they do. Ndio maana umekuwa surprised kuona yupo mwafrika ambae hafikirii hivyo unavyo fikiria wewe.
upo obsessed na wamarekani weusi ndio maana una watetea hapa.
Bro mbona umechelewa sana kuwatumbua na watu majahil sana ,hawana vision hata kidogo mfano matajiri wote wa muziki ya rapp au wana michezo hawaekezi ktk Elimu ili kuwapatia maskini elimu bora ktk jamii yao ni ujinga na upumbavu kwenda mbele mwisho wa habari wanawatafutia makesi kuwafilisi hawana muamko hata kidogo.Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
hao jamaa 2wasamehe tu!!!,,wengi wao ni wavuta ngada,skanka,kujichora tatoo,na kulawitiana,,,hawana lolote zaidi ya hayo,,,,alafu profesheno nyingine waliyo nayo ni kutembea huku wakidundadunda kama kitenesi!!!Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.