Nimekuuliza swali una amini undocumented immigrants hawalipi kodi? He who alleges must proof. The burden of proof lies to you kwa sababu wewe ndio ume raise hoja kwamba un documented immigrants hawalipi kodi . Mimi nimekuwa very surprised na madai yako haya kwa sababu nijuavyo mimi nchini Marekani hakuna mtu anaweza kuishi bila kulipa kodi. Ndio maana ulivyo sema undocumented immigrants hawalipi kodi nimeshtushwa. Wewe ndo unapaswa kunipa link inayo thibitisha kwamba un documented immigrants hawalipi kodi Marekani. Please don't shift the burden of proof to me.
Kama haijui wapo wangapi imejuaje kama they are undocumented?
Sasa mbona hueleweki mkuu mara unasema serikali haijui wapo wangapi mara nusu yao wanalipa kodi mara hawalipi kodi..which is which and which is not which?
So una amini serikali haijui undocumented immigrants wapo wangapi? In the US? Are u seriously?
Kwanini usinge waza positively ? Kwamba lengo la hao experts ni kuwa document hao unao waita un documented immigrants? Kwamba kutangaza kwenye media kwamba undocumented immigrants wanapewa huduma za afya bure itawafanya wengi wao kujitokeza kwenye huduma and in the due process serikali itaweza kuwa document?
Ndio maana nimesema hao experts wa California they know better than 50 Cent
1. Nimesoma.vitabu vyote vya 50.
2. Nimesikiliza nyimbo zake zote both kwenye albums kwenye mixtapes bila kusahau nyimbo alizo shirikishwa.
3. Nime research historia yake ya maisha na almost kila kitu kuhusu yeye infact huyu jamaa ninamfahamu kama Ninavyo jijua Mimi.
So kuhusu kumfahamu huyu jamaa na story ya maisha yake ondoa shaka kabisa kuhusu hilo mkuu.
It is so easy to be a millionaire in the US if you are a good rapper so there is nothing to be surprised about that.
Kuhusu hilo dili la Vitamin water hapo mbona ndo ume expose huyu favourite rapper wako. Kwanini?👇
First of all jamaa alivyo toka na Get Rich or Die Tryin hiyo 2003 ingawa nilikuwa bado teenager lakini nilikuwa najua jamaa ange kuja kuwa billionaire by 2005 kwa sababu aliuza a millions of copies plus he was so big and got a lot of endorsements.
By 2003 mwanzoni networth ya 50 ilikuwa 200 millions then 2004 he sold his Vitamin water for 100 millions something which made his networth 300 millions.
By now his networth is 30 million dollars.
So from 300 millions in 2004 to 30 millions in 2024 you still think this guy is smart? No he isnt. ( ukitaka kujua how much this guy is not smart tafuta kujua about his security budget. How much he spend on his security per year ndo utajua huyu jamaa kumbe ni bogus kabisa)
He was supposed to be a billionaire like Jay , Puffy or Dre.
Utasema hao walianza muziki kabla yake. What about Kanye? What about Rihanna?
Hata ndugu yetu Mnigeria Chamilionaire has more money than 50.
Hata Rick Ross is more wealthier than 50. Mifano ipo mingi sana.
Am regretting to tell you my brother, 50 is not yet rich and chances are he may never be a billionaire. If u think 50 is rich basi utakuwa na a very little understanding about rich and successful people.
50 is a guy who was just shot 9 times and survived the shooting and then he launched his rap career and became famous on that period.
He has never been smart to me and I am not intending to deem him smart any time sooner.
Wewe una muona smart probably kwa sababu upo obsessed nae. Ur mind is still stuck in the Get Rich or Die Tryin Era.
Nimegundua kitu kimoja kuhusu wewe ambacho wanacho baadhi ya waafrika nacho ni u guys are so much obsessed by African American people. U think they are right in everything they do. Ndio maana umekuwa surprised kuona yupo mwafrika ambae hafikirii hivyo unavyo fikiria wewe.
upo obsessed na wamarekani weusi ndio maana una watetea hapa.
Hapa tunakua tunazunguka hapo hapo, sawa mtu mwenye 80+b in tshs ni rapper tu asie na chakukwambia, ndio serikali na organization za aina hozo wapo sahihi mda wote na ndio wewe kama muafrica unapendwa na wazungu na unamanufaa nao kuliko hao waliokua slaves for 400+ years. Mi nmemaliza maana naona point ilikua inakuaje mnawapa free healthcare immugrants kama huelewi kwamba free healthcare manaake hao hao watu weusi unaowatukana wanalipia sona chakuongea na wewe.
Nimekwambia hio source inaspeculate kwamba labda nusu yao, hawana proof ndio maana ya kua undocumented. kwanza nini maana ya undocumented kwako tuanzie hapo.
issue ya bankruptcy ilikua kwasababu alikua anakua sued. na research aina ya bankruptcy aliofile kama ni ile ya kwamba umeishiwa hela au unaomba mda uweke finances zako vizuri kabla hujalipa.
Kumdiss 50 ni kushindwa kujifunza kutoka kwake, ametoka from an orphan raised by grandparents kwenye nyumba yenye watoto 9+ mpaka kusell drugs mpaka kua musician sio tu musician wakawaida one of the top grossing in his time mpaka kujifunza acting kuigiza, kudirect na kua na series yake ye mwenyewe.
kua abhter haikufanyi kua bora, unajipa a disservice. happ juu points zako zote nnamajibu nazo naona tu nachoka kuelezea. tuamzie hapa:
1. what are undocumented immigrants?
2. whats free healthcare?
3. California's political and public service ranking.(hii ni kuwapima hao "experts")
kama hizo point yatu hujazichunguza vizuri hatuwezi kudebate tutakua yunabishana, ndio Black Americans kuna vitu wanazingua ila sio issue rahisi ivo.