Wamarekani weusi wa Zanzibar


Hakuna mazanzibari mmasai kwa Zanzibar
 
Hii theory Tamu sana,
''kama huwezi kutushinda ungana na si''
Soon ,time will tell
 
Huko walipo ndio sehemu sahihi ya magaidi. panawafaa sana.Wanavuna walichopanda.
Hayo ndiyo maneno ya madhalimu na kanisa lake

Mnafikiri nguvu ni bunduki na majeshi. Soviet union ilivunjika bila hata kupigwa risasi moja
 
Hayo ndiyo maneno ya madhalimu na kanisa lake

Mnafikiri nguvu ni bunduki na majeshi. Soviet union ilivunjika bila hata kupigwa risasi moja

Kikokotoo kipya
umeashapata basha akakukanyaga? hopeless. Njoo malindi uone wanaume. unatukana dini ya watu eeh
 
Kikokotoo kipya
umeashapata basha akakukanyaga? hopeless. Njoo malindi uone wanaume. unatukana dini ya watu eeh
Hakuna mwislam anayeweza kumkanyaga mkristo,mimi ndiyo kazi yangu kuwakanyaga waislam, Marekani na Israel pia wanawakanyaga huko Guantanamo Bay huku wamewafunga minoyroro kama mbwa.Kwasababu umeingilia ugomvi usio wako tuendelee.Shetani wewe.umejipeleka Mombasa kukanyagwa.Ukimaliza kukanyagwa utafungashiwa bomu ukiwa umelegea kujilipua ili uwauwe wazungu halafu eti utazawadiwa wanawake sabini peponi mnawaza kukanyagana tu.hata zawadi zenu ni kukanyagana tu nguruwe jike wewe.

Ungefuatilia mlolongo wa majibizano na member Gavana basi ungeelewa kuwa yeye ndiye aliyeanza kunikashifu na ukristo wangu mimi nimejibu tu mapigo.Ila kwa ninyi mashoga kununua ugomvi ni kawaida yenu.Mnashoboka sana mkigundua mtu ni rijali.
 

Wapi nimekukashifu , unataka kuchafua uzi ndiyo mafundisho hayo mliyopewa ? Umeishiwa hoja
 
Kwani wewe na babu ya baba yako mlitokea wapi? Kama sio tanganyika basi weye sio mzanzibari. Ni mhamiaji toka nchi zingine ambao waliwakuta ambao halsi walitokea bara. Visiwa vyote duniani vilikaliwa na wenyeji wa bara zilizokuwa karibu. Tofauti ni visiwa au mabara machache sana hawajakutwa wenyeji wa kutokea maeneo ya karibu. Tunaendelea kuwakaribisha huku kwenu tanganyika
 
Wewe una akili kweli.
Maana Naiona Madagaska, na yule raisi wao nikama Mmakonde wa msumbiji!
Naiona Mourisious Wenyeji wakeni kama Wakwere vile!
Mbona visiwa vile viko huru na hakuna aliyedai umiliki eti kwa kuwa viko jirani?
Sirilanka Pia ni kisiwa,lakini Mbona Muhindi hajadai kuwa Nis ehemu ya India,tena wao wanafanana haswa.
UK pia ni kisiwa, lakini Ufaransa hajawahi dai kuwa ni chake,Na hawa si wamoja ni watu tofauti japo wote ni wazungu
 
Acha Siasa Ya Maji taka Hivi hebu kaa ufanye Tafiti yako kwa Utulivu kuna Mzanzibar asiyekuwa na kizazi kisichogusa bara?
Bila Shaka Hakuna asiyehusu bara utofauti wa zama tu za Kuingia Zanzibar wengine wanavizazi 4 wengine vi 3 wengine ndio kwanza cha kwanza hiyo ndio tofauti ktk kisiwa hakuna mtu aliyechipuka chini ya ardhi
 


Mzanzibari halisi kila mmoja ana kwao hapa Zanzibar iwe Unguja iwe Pemba ?? Na wanazo sehemu zao za kuzikana.

Makunduchi wana lugha yao ambayo hakuna lugha hiyo bara . ukija kwa Tumbatu ni hivyo hivyo , ukija kwa watu wa kaskazini ni hivyo hivyo.

Na Pemba ni hivyo , mkojani ana lugha yake wala haiko bara. Micheweni , kusini ni hivyo hivyo.

Mtu wa bara anajulikana na mgeni anajulikana
 
Taf Tafuta undani wa historia. Utagundua ukaribu wao. Na sisi watanganyika hatusemi sisi ni waunguja wala wapemba. Tunasema ninyi ni mlitokea bara kwa wingi na ndio kisa kuna serikali ya huko na ya muungano. Ili kuleta uwiano mzuri na kutokuwa na nia ya kuitawala.
 
Kalagabaho.
hako ni kamkoa ketu na kataendelea kuwa hivyo,mna vijeshi vyenu sijui viwili vile basi mnaona na nyie mpo ahahahaha!
.
baba tia akilini Zanzibar ni mkoa wa nchi inayoitwa Tanzania na sio nchi ndani ya nchi.
Ukweli mchungu ambao wazanzibar hawapendi kuusikia huu...

Rais akivuka chumbe anakua mkuu wamkoa [emoji23][emoji23][emoji23]

Akifika dar anapokelewa na Mkuu wamkoa yule nani kaka sijakosea [emoji23]

Wazanzibar inatakiwa muukubali tu huu ukweli ijapokua mchungu.....
 


Kwani kuna siri hapo ?? Inajulikana zamani Zanzibar ilivamiwa na Laanatullahi Nyerere na kumkamata waziri Mkuu wake muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi kwa njia ya Kidemokrasia pamoja na baraza lake la Mawaziri na kuwafunga katika jela za Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani kabla hata huo uvamizi haujapewa jina la Tanzania hapo April 26 , 1964.

Hao wanaowekwa na Tanganyika pamoja na kanisa Katoliki ni waganga njaa na vibaraka wala hawajali kuitwa Raisi au Mkuu wa Mkoa au Mjumbe wa nyumba kumi . Kwao muhimu ni matumbo yao yajae
 
Et wanasheherekea mapinduzi! πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Yule mzee kapindua sultan na kumleta mwingne. Hawatokuja wamsamehe yule mzee.
 
kwa hiyo?
Ndo iwe halali zanzibar kutawaliwa?
Katawaleni na Kongo basi,na kenya na msumbiji.
 


HII NDIO KAZI MLIYOPEWA NA KANISA


Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu





Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.


Amesema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…