Wamarekani weusi wa Zanzibar

Wamarekani weusi wa Zanzibar

Hayo majeshi yako uliyoyataja ni ya uvamizi. Zanzibar haina ugomvi na nchi yoyote. Wala haijawahi kuwa na majeshi.
Matatizo mnayo nyinyi Tanganyika mliopakana na Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi , Malawi , Zambia , Congo, Msumbiji , ndio mnahitaji majeshi kwani chokochoko hazishi.
Akili zako ni kama hazina ushiriakiano na mikono yako inapoandika, wewe unadhani visiwa huwa havipigani vita kwasababu tu havipakani na nchi kavu?, Visiwa vya Comoro,JWTZ walishaenda kufanya yao.Ninyi wazanzibar ni mkoa wetu na siyo nchi.Nchi ina Rais mmoja tu .Jeshi moja, idara ya polisi moja fedha moja.Kama mna jeshi mkuu wenu wa majeshi ni nani?IGP wenu ni nani?.Au ndiyo unayaita majeshi ya uvamizi?,kama mmevamiwa basi ujue mnatawaliwa na kama mnatawaliwa ninyi ni koloni.
 
Tanganyika imeikalia shingoni Zanzibar kwa kivuli cha Muungano
... sijawahi kusikia mke wa mtu analalamika "I can't breath" kisa "kulaliwa" na mumewe! Zanzibar itulie hivyo hivyo kwa sababu waliingia kwenye muungano kwa ridhaa yao.
 
Akili zako ni kama hazina ushiriakiano na mikono yako inapoandika, wewe unadhani visiwa huwa havipigani vita kwasababu tu havipakani na nchi kavu?, Visiwa vya Comoro,JWTZ walishaenda kufanya yao.Ninyi wazanzibar ni mkoa wetu na siyo nchi.Nchi ina Rais mmoja tu .Jeshi moja, idara ya polisi moja fedha moja.Kama mna jeshi mkuu wenu wa majeshi ni nani?IGP wenu ni nani?.Au ndiyo unayaita majeshi ya uvamizi?,kama mmevamiwa basi ujue mnatawaliwa na kama mnatawaliwa ninyi ni koloni.

Lini Zanzibar ilikuwa na majeshi? Majeshi ni haya ya mavamizi kutoka Tanganyika. Historia ya Comoro ni tofauti na ya Zanzibar. Zanzibar haijawa na adui ,majeshi ni ya kazi gani ?

Mlio na maadui ni nyinyi mnaoleta choko choko kwenye nchi za watu
 
... sijawahi kusikia mke wa mtu analalamika "I can't breath" kisa "kulaliwa" na mumewe! Zanzibar itulie hivyo hivyo kwa sababu waliingia kwenye muungano kwa ridhaa yao.
Ndivyo ulivyoambiwa kanisani?
 
Gavana said:
Kuna mkuu wa mkoa anaitwa Rais na ana vikosi vyake vya ulinzi?
Wewe ulipouliza hili swali hukujua kuwa Zanzibar haina majeshi.Hapa ulitaka kukanusha kuwa Rais wa Zanzibar siyo mkuu wa mkoa,kwasababu anaitwa rais na ana vikosi vyake vya ulinzi,sasa wewe unajikanusha tena mwenyewe.Umesahau hata ZFF nayo ina rais wake.Au vikosi vyenu vya ulinzi vinafundishwa ulinzi kwa kutumia mazingaombwe na siyo mafunzo ya kijeshi?
 
Hao si wakuu wa mikoa ni vibaraka vya Tanganyika na Kanisa katoliki.Si nilikuambia Zanzibar ilipokuwa huru haijavamiwa na Tanganyika haikuwa na adui wala kuwa na majeshi?
 
Hao si wakuu wa mikoa ni vibaraka vya Tanganyika na Kanisa katoliki.Si nikuambia Zanzibar ilipokuwa huru haijavamiwa na Tanganyika haikuwa na adui wa kuwa na majeshi
Hivyo ndivyo tunavyotaka iwe,na ni nzuri.HATUWEZI kuruhusu kisiwa chetu kuleta jeuri ya aina yoyote.kuna watu waliwahi kusema muungano ni kama koti, likikubana unalivua cha ajabu ,hadi leo hakuna aliye wahi au atakaye jaribu kulivua,ninyi raia mtabakia tu kujiita majina ya vibaraka.
 
Kalagabaho.
hako ni kamkoa ketu na kataendelea kuwa hivyo,mna vijeshi vyenu sijui viwili vile basi mnaona na nyie mpo ahahahaha!
.
baba tia akilini Zanzibar ni mkoa wa nchi inayoitwa Tanzania na sio nchi ndani ya nchi.
Babu yako Hajui hivyo,yeye anaujuwa ukweli,
Endelea kujipa Moyo,iko siku Zanzibar itakushangazeni.
Kwa sasa bado kuamka,Munalishana matango pori
 
Attachments

  • NYERERE ANAJUA KUWA TANZANIA IMEUNDWA NA NCHI 2 HURU .mp4
    15.5 MB
Kumbe shida ni masheikh magaidi wale?
Uwe na adabu ,wacha kuwaita Viongozi wangu wa kidini Magaidi
Kwa Imani yangu ya Uislamu hawa ni , walimu wangu na wafasiri wa Qur-an bobezi,tena watu wenye heshima kubwa hapa Zanzibar, na kama hamuamini ,tazameni siku wakitolewa ,watu watakavyoshangilia na kuwakumbatia
Muna waita magaidi kwa kuwa walisema kweli 'Tanganyika inaikalia Zanzibar kima bavu na kuinyonya"
Ukweli huu ni kama kisu kwa Mkoloni.
 
Uwe na adabu ,wacha kuwaita Viongozi wangu wa kidini Magaidi
Kwa Imani yangu ya Uislamu hawa ni , walimu wangu na wafasiri wa Qur-an bobezi,tena watu wenye heshima kubwa hapa Zanzibar,
Magaidi hao, (hata kama mahakama haijawatia hatiani) wasingekuwa magaidi si wangekuwa uraiani huoni watu wanaishi kwa amani sasa hivi.
.
Hamna mihadhara ya kishamba na ya kigaidi kama ya hao masheikh na kina Ponda.
niwe na adabu kwa hao unaumwa wewe

na kama hamuamini ,tazameni siku wakitolewa ,watu watakavyoshangilia na kuwakumbatia
Endelea kuota HAWATOKI NG'O

Muna waita magaidi kwa kuwa walisema kweli 'Tanganyika inaikalia Zanzibar kima bavu na kuinyonya"
Ukweli huu ni kama kisu kwa Mkoloni.
Umeshaambukizwa ugaidi.
Mkoa wetu wenye utawala maalumu iweje tuukalie kimabavu?
.
Tushukuruni sana.
 
Mmeanza Tena wazanzibar? Yaani muungano utalindwa kwa ghaeama yoyot3 ! Au mmetumwa! Mmezoea kutuvurugia nchi Kila siku chokochoko hamuoni aibu mbona 2/3 ya wazanzibar I wake bara? Warudi mbanane Kama chawa? Acheni hizo mnapenda vya wenzenu vyenu NOOO? SASA NI HIVI; MUUNGANO HAUVUNJIKI LEO AU KESHO HAMENI MWENDE KWENU YARABUNI
Fyata mkiya wewe ,
Usiyejuwa usemalo
Nani kakwambia mzanzibari kwao arabuni?
 
Magaidi hao, (hata kama mahakama haijawatia hatiani) wasingekuwa magaidi si wangekuwa uraiani huoni watu wanaishi kwa amani sasa hivi.
.
Hamna mihadhara ya kishamba na ya kigaidi kama ya hao masheikh na kina Ponda.
niwe na adabu kwa hao unaumwa wewe

Endelea kuota HAWATOKI NG'O

Umeshaambukizwa ugaidi.
Mkoa wetu wenye utawala maalumu iweje tuukalie kimabavu?
.
Tushukuruni sana.
Maneno yako nayaweka kwenye kumbu kumbu,ikiwa wewe ni Muislamu,nakusikitikia,
Lakini ikiwa wewe si muislamu, Sina hoja ,kwani Uliyosema yatosha kukutia kwenye Ghadhabu za Mungu
Maana Hata Yesu alipokamatwa ,wale watawala walimwita gaidi,
na hatimae kumtweza na kutokea Stori ya Kusulubiw ikiwa unaamini.
lakini kumbe aliyekamatwa ndiye mwenye haki.Yaani Yesu unayemuamini wewe na mimi,walisema Auwawe kwa kuchelea kuporomoka kwa utawala wa Kirumi.
Hivyo hivyo
Mussa na Farao
Lakini hatimae watawala wale waovu walipita kama itakavyo pita Tanganyika.
 
Babu yako Hajui hivyo,yeye anaujuwa ukweli,
Endelea kujipa Moyo,iko siku Zanzibar itakushangazeni.
Kwa sasa bado kuamka,Munalishana matango pori
Kwa hiyo Zanzibar sio mkoa wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom