Wamarekani weusi wa Zanzibar

Wamarekani weusi wa Zanzibar

Nyie ndo mtasababisha masheikh wa uamsho wasitolewe.
Zanzibar kuwa nchi huru ni ngumu sanaa.
Maana ccm ameshaota mizizi hadi rais mnapangiwa na ccm.
Anzeni kwanza kuitoa ccm huko zanzibar alafu ndo muanze kudai zanzibar huru.
wazanzibar wote kuanzia rais hadi BEKI 3 MNATAKIWA MUIMBE WIMBO MMOJA.
"ZANZIBAR HURU".
Zaidi ya hapo msahau.
 
Zanzibar acheni choko choko, muungano mliutaka wenyewe.
Of course, waliutaka wenyewe Kwa maslahi Yao.. wakati ule walihofia Sultani waliempindua angepewa msaada na ndugu zake wa Oman akarudi kuishambulia na kuitawala Zanzibar. Waliingia kwenye MUUNGANO kumzuia Sultani... wakajua kitisho kikiondoka watajitoa Kwa urahisi kama kuvua koti.. kumbe sio rahisi kivile.
Pole yao
 
Hujui wewe tu, Zanzibar ni mkoa maalumu na wala si nchi.
Nchi inaitwa Tanzania yenye Rais mmoja, Waziri mkuu mmoja na Makamu mmoja!
Lakini yenye serekali mbili [emoji58]
 
Hujui wewe tu, Zanzibar ni mkoa maalumu na wala si nchi.
Nchi inaitwa Tanzania yenye Rais mmoja, Waziri mkuu mmoja na Makamu mmoja!
Lakini yenye serekali mbili [emoji58]
 
Muungano wetu ni wa kipekee duniani wazanzibar mtulie hivo hivo tuulinde huu muungano
 
Wakiendelea au kutokuendelea bado itakuwa faida au hasara yao wenyewe. Kuendelea kuwang'ang'ania ni kuwapa nguvu ya kudai mnawanyonya.
Waende tu! Sielewi hata mantiki ya kuendelea kuwashikilia ilhali watu wenyewe ndo hivyo.
 
Mmeanza Tena wazanzibar? Yaani muungano utalindwa kwa ghaeama yoyot3 ! Au mmetumwa! Mmezoea kutuvurugia nchi Kila siku chokochoko hamuoni aibu mbona 2/3 ya wazanzibar I wake bara? Warudi mbanane Kama chawa? Acheni hizo mnapenda vya wenzenu vyenu NOOO? SASA NI HIVI; MUUNGANO HAUVUNJIKI LEO AU KESHO HAMENI MWENDE KWENU YARABUNI
 
Wala hujakosea abdool.
Tumsifu Yesu Kristo

Endelea kumpinga Yesu

Mathayo 16: 20

Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu ye yote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
 
Mmeanza Tena wazanzibar? Yaani muungano utalindwa kwa ghaeama yoyot3 ! Au mmetumwa! Mmezoea kutuvurugia nchi Kila siku chokochoko hamuoni aibu mbona 2/3 ya wazanzibar I wake bara? Warudi mbanane Kama chawa? Acheni hizo mnapenda vya wenzenu vyenu NOOO? SASA NI HIVI; MUUNGANO HAUVUNJIKI LEO AU KESHO HAMENI MWENDE KWENU YARABUNI

Andika bila jaziba, hakuna muungano kuna uvamizi na unafikia ukingoni
 
Back
Top Bottom