Wamarekani weusi wa Zanzibar

Wamarekani weusi wa Zanzibar

Rais anachaguliwa dodoma. Vikosi gani ilivyo navyo zanzibar
Hivi ,huelewi kuwa Zanzibar kuna KMKM, Magereza, JKU, Valantia, Janjawidi ? Wote hawa hawako chini ya serikali ya Tanganyika kwa jina la ki magirini, Tanzania?

Kuna mkoa Tanganyika wenye vikosi kama hivyo ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zenji ni sehemu ya Tanzania
Period,
Tufunge mjadala sasa

Ova
 
Kalagabaho.
hako ni kamkoa ketu na kataendelea kuwa hivyo,mna vijeshi vyenu sijui viwili vile basi mnaona na nyie mpo ahahahaha!
.
baba tia akilini Zanzibar ni mkoa wa nchi inayoitwa Tanzania na sio nchi ndani ya nchi.
Hizo ndizo fikra zenu ,ukisikiliza clip vizuri utajua nguvu ya wachache humaliza vipi taifa
 
Waarabu wa oman wanakitaka kisiwa kile kwaajiri ya masilahi yao.... Pale gesi na mafuta havikosekani. Lakini pia kile ni kisiwa cha utalii. So jamaa wanaleta choko choko ili tugombane wao wapate wanachotaka.

Ndivyo ulivyoambiwa maskani ya Lumumba?
 
Waarabu wa oman wanakitaka kisiwa kile kwaajiri ya masilahi yao.... Pale gesi na mafuta havikosekani. Lakini pia kile ni kisiwa cha utalii. So jamaa wanaleta choko choko ili tugombane wao wapate wanachotaka.
Zanzibar nawafananisha na Comoro tu.
 
Hizo ndizo fikra zenu ,ukisikiliza clip vizuri utajua nguvu ya wachache humaliza vipi taifa
Kwa hiyo Arusha ishindwe kumaliza taifa ije kuwa Zanzibar ya John Okello?
.
Abdool Zanzibar ni kamkoa ketu ila tunajua mnaweza anza malipuzi ndio maana tumewapa mnavyovitaka ili mjione na nyie ni Hong Kong
 
Shida ni Dodoma kuiamulia Zanzibari nini na nani wa kuongoza. Siku wa Zanzibari wakichoka kuelekezwa nini cha kufanya . Watazika machungu hayo.

Bahati mbaya, wa Zanzibari nao bado wamepumbazwa na unafuu wanayopewa kutoka Tanganyika kama chambo.
 
mzee kwani uislamu una shida gani[emoji1][emoji1]
Uislam ni imani kama imani nyingine na hauna tatizo. Shida ni wajuaji wanaojivika hii imani utadhani walizaliwa nayo...... Wao wanaona wanamjua MUNGU kuliko wanaomjua kweli kweli......
 
Mnalazimisha kitu kisicholazimika , one day yes ,mtaitema tu
Walipokuja warabu tu na walipopandikiza mbegu hapo imeleta shida
Ila Zanzibar ni sehemu ya Tanzania (Tanganyika)

Kabla ya warabu Kuja Ambapo wa pemba walikuwa bado kutokea wanyamwezi ndiyo walikuwa hapo
Kabla ya mwarabu

Zanzibar ni sehemu ya Tanzania aka tanganyika

Ova
 
Back
Top Bottom